Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwenye specs zake kuna sehemu wameandika kwamba inasupport diseqc 1.1.Angalia specs kwenye box lake.Hii feature kama ipo basi unakosea kufanya configuration za diseqc switch yako.

Labda we unayotumia ni aina gani hata hivo sidhani Diseqc zamatundu nane zinapatikana kirahisi.
 
Ila ninacho kikumbuka nikuwa kuna diseqc aina mbili pale kwenye receover moja 1-4 na nyingine inaanza na herufi nadhani ni kama B harafu inakuja 1-16.
 
Hapo sawa inasupport diseqc kubwa tumia ile option ya 1-16.Hizi diseqc za njia nane zinapatikana Kariakoo kwa shiliingi elfu 25.
 
Sasa mbona nikichagua hiyo option mbona haisomi.Au mbaka swith nayo iwe ya milango zaidi ya minne?
 
Inabidi switch iwe ya milango nane au zaidi.Za njia nne lazima utumie option ya 1-4.

Aksante sana kiongozi wangu. Kilichobaki itakuwa kuipata hiyo Diseqc ilikuwa inanipa tabu sana kuongeza dishi lingine nafanyeje. Sasa umenipa jibu mkuu.
 
Wakuu na wataakam wangu naombeni msaada namna ya kupata software ya Wiztech 8010 Hd classic japo siyo Org ni Clone wakubwa!!ile nami niweze kupata uwezo wa kuedit keys
 
achana na sw kwanza jaribu njia hii ukiwa ktk chanel husika inayo itaji key basi jaribu kubonyeza 0000 kisha bonyeza kitufe chekundu ktk remote yako,soma ujumbe utakao jitokeza apo kwa screen yako kisha nenda ktk menu kuu biss manager utaiona uko.

good try.
 
I did Brother!!na nimeona ninacho kiitaji baada ya kugonga 0000 keenye screen ikatokea Emu enable nikaingia kwenye mune kuu nikakuta menu path!!!ila sasa key ya bein sport ndyo naitaji niimalize huu mchezo
 
Key ya bein sport ni 26 05 81 AD 05 02 81 88 ingiza uone.
 
Mr Charles naona naitaji Somo zaidi juu ya hili kwa kuwa Mimi natumia Nilesat kupata Bein Sport na pia Intalsat 20 je key moja inasapot kotekote ama kila sattelite na key zake hata kama Channel ni hiyoyo?pia uku nalesat kuna Bein sport hd 9,hd10 mpaka bein sport 16 sasa nashindwa kutambua ipi ndyo bein sport 1!!!!pia hatua za kuingiza hizi keys kwa mafanikio maana ukiwa Mwanafunzi unaitaji mwongozo wa Mwalimu!kila la Heri,
 
Samahani hiyo Nilesat unaipata kwenye dish la size gani?
 
Back
Top Bottom