Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kuanzia tarehe 25/4/2015 channel ten wanahamia mfumo wa mpeg4 ila satellite itabaki ile ile kwa hiyo kinachotakiwa ni kununua receiver ya mpeg4 ili uendelee kuipata.Hii inawahusu wale wanaoitumia madish kuipata bila kutumia vingamuzi vya kulipia.
 
Kwa hyo kiongoz tusio na hzo mpeg4 hatutaweza kuipata kabisa au inakuaje.
 
Kuanzia tarehe 25/4/2015 channel ten wanahamia mfumo wa mpeg4 ila satellite itabaki ile ile kwa hiyo kinachotakiwa ni kununua receiver ya mpeg4 ili uendelee kuipata.Hii inawahusu wale wanaoitumia madish kuipata bila kutumia vingamuzi vya kulipia.

Hawa jamaa inabidi waboreshe kwanza ubora wa picha wanazorusha.
 
Nimepita leo mambo leo na coin wanasema hawana. Sehemu nyingine unayoijua ni ipi?

pole Mzazi pale coin Duka la nyuma ambalo wanauza vyombo vya Music wanazo na pia Duka la pili yake mbele ya coin wanazo Mzazi,ukikosa basi tutafutane kwa simu tutafute Wawili!
 
Kwa Morogoro hizi receiver zinazoedit bisskey zinapatikana wapi?

Nasikia wadau startimes wameweka abood tv na inaonyesha football through canal+ and bein sports. Kama ni kweli na tumaini azam tv wanasoma hii link nao waiweke pia ili tupate burudani
 
Vipi wadau,mm nko Kenya Naomba msaada wenu,nimekua nikitumia dstv kwa miaka kadhaa Sasa ila juzi nimepewa decoder Ya seabox..ntaitumiaje kupata channels haswa za nilesat Kwa kutumia dstv dish Ya kwangu,una search Aje kwenye hili decoder??
 
kwangu mimi ni afadhali kua na Internet nyumbani na kufanya streaming ya channels za nje km nahitaji kuliko kuhangaika na madish haya yasiokua na elimu ya kutosha, if I want to watch games I buy a monthly bundle and start streaming to a big tv, end of story, nakua nyumbani kwangu hata mechi itezwe saa 9 ucku ni kuamka tu na kuanza fanya mambo yote online.
 
Unatumia ISP gani?
Ni kweli kabisa kama ISP wako yuko poa kuna Vingamuzi vina IPTV kali sana
Kuna Box nyingine zina Support XBMC/ Kodi software ambayo ina contents nyingi sana Kwa kila entertainment.

Lakini challenge ni Internet ukizingatia Smile mtandao portable wenye Nguvu ya 4G wanauza package zao bei kubwa
 
kwangu mimi ni afadhali kua na Internet nyumbani na kufanya streaming ya channels za nje km nahitaji kuliko kuhangaika na madish haya yasiokua na elimu ya kutosha, if I want to watch games I buy a monthly bundle and start streaming to a big tv, end of story, nakua nyumbani kwangu hata mechi itezwe saa 9 ucku ni kuamka tu na kuanza fanya mambo yote online.

Streaming?! Quality ya picha mara nyingi inakuwaga chini, na ikiwa HD itakaa ina-buffer kila baada ya muda kidogo. Ukishindwa kucheza na madishi na unapenda sports ni heri ujisalimishe dstv.
 
Inategemea unatumia Njia ipi ku stream brother...
Kama unatumia viweb vya kishamba mtandaoni hauwezi pata Quality nzuri na huwa hazina Buffer kama unavyosema wewe...Labda tu uchaguzi mbaya wa ISP na Kifaa unachotumia(modem)

Anyways hapa FTA TV hii ni kama by the way ila Digital Video broadcasting ndo mpango mzima
 
web gani wanastream vizuri mkuu?
 
Ninataka nitumie madish mawil kwenye receiver moja nisaidieni niungaje hz cable na nitumie vifaa gan pls.
 
Back
Top Bottom