I did Brother!!na nimeona ninacho kiitaji baada ya kugonga 0000 keenye screen ikatokea Emu enable nikaingia kwenye mune kuu nikakuta menu path!!!ila sasa key ya bein sport ndyo naitaji niimalize huu mchezo
Mr Charles naona naitaji Somo zaidi juu ya hili kwa kuwa Mimi natumia Nilesat kupata Bein Sport na pia Intalsat 20 je key moja inasapot kotekote ama kila sattelite na key zake hata kama Channel ni hiyoyo?pia uku nalesat kuna Bein sport hd 9,hd10 mpaka bein sport 16 sasa nashindwa kutambua ipi ndyo bein sport 1!!!!pia hatua za kuingiza hizi keys kwa mafanikio maana ukiwa Mwanafunzi unaitaji mwongozo wa Mwalimu!kila la Heri,
Hiyo 26 05 81 AD 05 02 81 88 niliyoweka hapo ni ya Eutelsat 7@7degree kuna bein sport 1 na 2 pale kwenye channel za Azam mkuu. Swala jingine ulilouliza nadhani sina uhakika kwamba hatakama chanel ileile satellite tofauti na biss key zitakuwa tofauti hivohivo.

Labda we unayotumia ni aina gani hata hivo sidhani Diseqc zamatundu nane zinapatikana kirahisi.
Beinsport new Biss key: 260582AD05028188.
mbona mnabishana kama watoto.? acheni kukalili,inaweza ikawa chanel moja ipo ktk sat tofauti na key ikawa moja tu,kutokana na matakwa ya mmiliki mbona irib zote zinatumia key moja.? ijapokua ziko ktk sat tofauti.? acheni utoto bna wakubwa nyie.
Hizo Bein sports zinaonyesha match or league gani. Ambazo ziko eutelsat 7@7 degree

Itv,eatv na capita tv mbona signals zpo chin sana na zinapatikana jion tu msaada kwa anayejua zaid ni kwa madish fta
Mr Charles naona naitaji Somo zaidi juu ya hili kwa kuwa Mimi natumia Nilesat kupata Bein Sport na pia Intalsat 20 je key moja inasapot kotekote ama kila sattelite na key zake hata kama Channel ni hiyoyo?pia uku nalesat kuna Bein sport hd 9,hd10 mpaka bein sport 16 sasa nashindwa kutambua ipi ndyo bein sport 1!!!!pia hatua za kuingiza hizi keys kwa mafanikio maana ukiwa Mwanafunzi unaitaji mwongozo wa Mwalimu!kila la Heri,
Mkuu mm nnapata bein sports HD 1&2.. ila nlikuw nataka nipate 9 na 10 km ww cjui ww unatumia dish fut ngap? Na king'amuz gan?
Mimi natumia dish la ft6 kupata nilesat na dish la ft3 kupata eutalsat 7a na 7b mkuu ila mpaka sasa nimeshindwa kuweka hizo keys niweze enjoy Bein sport
biss key nmekuwekea hapo juu, we unatumia king'amuz gan?