Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

jamani hizi bisskey zinanipa shida sana namna ya kuziweka kwenye wiztech 999
 
Taarifa kuhusu amos 5 satellite kutoka israel:
Leo wataalam kutoka israel wa amos 5 satellite wametangaza kwamba satellite imepotea!.
Kwahiyo wanataka tuhame katika satellite ingeni. Tumesikitika sana sana na pia kwa wateja wetu wa thamani, hakuna jinsi. Tunaomba radhi, ni nje ya uwezo wetu.
Mazungumzo na satellite ingeni yanaendelea.
Ting tuta tangaza rasmi satellite mpya na freq nk.
Kwa wale wote ambao wanaelewa mambo ya satellite nk. Na wametupa pole, ahsanteni. Tuombe turudi hewani haraka.
Pia kwa wateja wote ambao wamelipa kifurushi chao, tutarudisha kwa siku ambazo hatuko hewani.
Ting tunajali..wateja wetu...tafadhali vuta subira kidogo. Mungu awabariki.

Chanzo:Ukurasa wa TING kwenye facebook.
 
Add hizo TP kwenye transponder list katika sat husika uliyochagua. Kisha tumia kutafutia signal na Quality.

Natumia Continental decoder baada ya satellite ya amos 5 kupotea nimeshindwa kuona chochote, nauliza je naweza kuangalia tv za nyumbani kupitia satellite nyingine? Shida yangu tu ni taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bbc dira ya dunia saa 3 usiku.

NB: Hiki king'amzi kwenye listi ya satellite zipo nyingi zaidi ya kumi zimeorodhesha pale. Naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Intelsat 906 au nunua king'amuzi kingine sababu yaonekana itachukuwa muda kulekebisha hiyo shida
 
Back
Top Bottom