Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Nasikia continental imerudi hewani kwenye ABS 3 @3W please confirm mi nimesafiri kidogo na vipi kuhusu sauti na picha ku freeze bado lipo?

Comfirmed it works good no kuganda sasa ni real hd receiver lazima iwe mpeg 4 kwa mpeg 2 haiziwezi tena hakika wameboresha na zimeongezeka channels
 
Nauza invero black ultra single, Tanzania tu
 

Attachments

  • 1450090566952.jpg
    1450090566952.jpg
    12 KB · Views: 237
naulizia kuhusu nelsat 7.0w kwa tz inapatikana katika dishi la futi ngapi
 
Back
Top Bottom