Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Angalia kwenye lyngsat.com wame update channels upya today so yawezekana wanebadilisha frequency
 
Kuna mpira live kati ya inter Milan na Atlanta kwenye rai Italia channel number 680 na Manchester city versus crystal Palace kwenye crtv iko kwenye other channels ndo wanakalibia kuanza
 
Natumia Continental decoder baada ya satellite ya amos 5 kupotea nimeshindwa kuona chochote, nauliza je naweza kuangalia tv za nyumbani kupitia satellite nyingine? Shida yangu tu ni taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bbc dira ya dunia saa 3 usiku.

NB: Hiki king'amzi kwenye listi ya satellite zipo nyingi zaidi ya kumi zimeorodhesha pale. Naombeni msaada wenu tafadhali.

Kuna mpira live kati ya inter Milan na Atlanta kwenye rai Italia channel number 680 na Manchester city versus crystal Palace kwenye crtv iko kwenye other channels ndo wanakalibia kuanza
 
Mkuu samahani naomba msaada wa kujua inapopatikania continental. Kwa kutumia qsat na dish ya ku
 
Clouds TV sasa inapatikana katika satellite ya Eutelsat 3B @3.1E Frequency 3667 R DVB-S2 SR 1547.
 
Back
Top Bottom