Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
MPEG4 angle gani?Tangu Channel ten wahamie MPEG4 kwa sasa signal yake haiko stable kabisa.Si bor wangebaki na mfumo wa zamani maana huu mpya umeshindikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MPEG4 angle gani?Tangu Channel ten wahamie MPEG4 kwa sasa signal yake haiko stable kabisa.Si bor wangebaki na mfumo wa zamani maana huu mpya umeshindikana.
85,000/=Unauza bei gani mkuu
Ni pm kwa maelewano zaidiUnauza bei gani mkuu
Mm Tv yangu inaking'amuzi ndani chanel nazipata lakin hazioneshi au ndio sababu nn?CONTINENTAL WAAMEANZA BIASHARA KUANZIA LEO HAMNA BURE NI KULIPIA.
Scrambled $$ kwenye ving'amuzi tofauti na vya continentalMm Tv yangu inaking'amuzi ndani chanel nazipata lakin hazioneshi au ndio sababu nn?
Sasa mkuu hapo nifanyeje kutatua tatizo,?Scrambled $$ kwenye ving'amuzi tofauti na vya continental
Natumia Continental decoder baada ya satellite ya amos 5 kupotea nimeshindwa kuona chochote, nauliza je naweza kuangalia tv za nyumbani kupitia satellite nyingine? Shida yangu tu ni taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bbc dira ya dunia saa 3 usiku.
NB: Hiki king'amzi kwenye listi ya satellite zipo nyingi zaidi ya kumi zimeorodhesha pale. Naombeni msaada wenu tafadhali.
tbc1 ipo ila lazima upandishe sana signal ya itv ndo itakubaliMbona tbc1 haipatikani kwenye satellite ya intelsat 906.
Nami 0757939491Kama lipo group la whatsapp naomba mniadd +255719643534