Taarifa kuhusu amos 5 satellite kutoka israel:
Leo wataalam kutoka israel wa amos 5 satellite wametangaza kwamba satellite imepotea!.
Kwahiyo wanataka tuhame katika satellite ingeni. Tumesikitika sana sana na pia kwa wateja wetu wa thamani, hakuna jinsi. Tunaomba radhi, ni nje ya uwezo wetu.
Mazungumzo na satellite ingeni yanaendelea.
Ting tuta tangaza rasmi satellite mpya na freq nk.
Kwa wale wote ambao wanaelewa mambo ya satellite nk. Na wametupa pole, ahsanteni. Tuombe turudi hewani haraka.
Pia kwa wateja wote ambao wamelipa kifurushi chao, tutarudisha kwa siku ambazo hatuko hewani.
Ting tunajali..wateja wetu...tafadhali vuta subira kidogo. Mungu awabariki.
Chanzo:Ukurasa wa TING kwenye facebook.