Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwa channel za nyumbani tu c-band ata azam decoder inashika tatzo n pale utakapotaka powervu channels!
 
Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ?
Kuna malipo yeyote na yanakuwaje?

Thanks
 
Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ?
Kuna malipo yeyote na yanakuwaje?

Thanks
Decoder - Any P*rvu capable decoder eg. strong srt 4922 etc.
Dish - 6 ft prime focus can do the job.
Malipo - Hakuna malipo, we nunua vifaa tu.
samahani kwa kuchanganya lugha
 
Kwa sasa nipo na AzamTV. Na sat ya Intelsat 20 68.5'E

Nina dish jingine la KU. Naomba Ushauri, ni Sat gani ambayo Naweza funga na kuendelea kuzifaidi FTA!?

Naombeni Ushauri wa sat za ukweli zilizo na FTA nyingi.

Thanks waungwana.
 
Nilesat 7w
 
Mkubwa Doha kuelew kidog unatumia dish dogo la azam au yale makubwa na je unatumia receve ya azam aunapia seals la setting naomba unielrze hp
Dish la azam lile la 100cm, receiver ya azam pia poa na lnb nzuri kama inverto black ultra, lnb ya kawaida pia utapata ila chanel siyo nyingi
 
Setting zake
Tafuta kwanza 3w tumia freq 11149v45000 ukiipata shusha dish kidogo halafu zungusha kidogo kusho ukiwa umesimama nyuma ya dish tumia hii 11862v27500 kutafutia 7w. Upo wapi?
 
Vip arusha ntapata? Na je nikitaka niendelee pia kuona za azam kawaida itawezekana?
Utapata, ukitaka na azam uone weka madishi mawili moja kwa ajili ya azam ipo 7e na jingine nilesat 7w
 
Msaada naombeni mniunge makundi ya Whatsapp simu iliibiwa kwa namba +255712227885na telegram +255654444064
 
Back
Top Bottom