Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

habari zenu wadau, hapa Kwangu star tv pekee ndo inashika kwenye c_intelsat 906 nimesearch satelite hii zaidi ya mara 10 naambulia star tu, naomba msaada ndugu wataalam
 
ImageUploadedByJamiiForums1469968728.840594.jpg


Hii set ya FTA. Unapata zaidi ya 110 Gospel Channels 24/7

Bei: 190,000/-

Hiyo Bei inajumuisha Receiver Dish lNB na wire kufungiwa.
 
Na mimi naomba niunganishwe kwenye hilo group la SAT and FTA whatsapp group 0756802119
 
Back
Top Bottom