Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

dish za TV mwanzo nilikuwa na wasaidia kuset channel kwa frequency manual , ila baada ya star times waka acha ,sasa wanataka kurudi tena na napata tabu ya frequecy za local channel na za nnje, je naweza pata kifaa ambacho nitakuwa napanda nacho juu kwenye dish na kuset cheki channel na kuliset vizuri bila yakushuka na kuset kwenye decoder je ni Tsh ngapi?
 
Vipo vingi hela yako tu vinaitwa sat finder
 
Wakuu mpooo!kumepoa sana umu!
1473694358841.jpg
wakuu vipi kuhusu iki kitu ni chaukweli?
 
wakuu, juzi pale kariakoo niliona decoder inayotumia laini ya simu kushika channel, na muuzaji alisema unaweka hata jero na unaweza angalia kwa takriban wiki moja. Naombeni ushauri kwa aliyewahi kutumia decoder hizi, nataka nikainunue.
Ilikua zamani miaka iliyopita, kuanzia mwaka jana(2014) mwezi kama wa 8 huduma hiyo ikawa sio ya uhakika
 
Ni nzuri ila wametoa kubwa take Ndio kiwango inaitwa freesat angel ina android v 5.0 pia pre installed Kodi v16.0

Hii ni android box hawa wanazo kubwa freesat v7 combo pia v8 Gold hii nayo pia ni combo ki ujumla hawa jamaa vitu vyao viko sawa kwa powervu ni autollol za ukweli picha nzuri codec za kisasa pia ni standberg enabled zina fungua etv africa ambapo decoda nyingi hazifungui
 
Mkuu na hii v7 ina play store? Kama v8 unajua sijaitumia ila naona specifications kwenye internet sijui hata kama na etv Africa inafunguka ni ipi ile ya Intelsat 68' au nyingine??
 
Haina play store ila etv inafungua hii iko pale 3°E chini kidogo ya akina azam na zuku
 
OK! Ila YouTube yake Ina access hata kwa Wifi hotspot ya Simu au mpaka USB WiFi dongle??
 
Back
Top Bottom