Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Niaje Gunerz mwenzangu hope uko njema na Inshalaahh leo tutashinda na hata tukifungwa we say "IN WENGER WE TRUST".
nimebahatika kuagiza HUMAXir2020hd Decorder with TWO card slot

na nimeagiza CARD ya Aljazeera Sports na AbuDhabi Sports.
Sasa naomba maujanja ya kuweza kuitumia hii kitu TO THE MAXIMUM, kuanzia ni aina gani ya dish nifunge na LNB nagapi ni weke.
 

Mkuu bei yake ikoje hiyo
 

Mkuu, Card ya Al Jazeera sports ina sehemu mbili kuna yenye Channels 8 na channels 10 kama ni Tanzania BIRD 6 @ 26° East ina foot print na dish lake ni 250cm C BAND ina option ya HD1 & HD2 ambazo ziko Hot Bird 13C ina foot print Europe halafu kwa kuwa Receiver ina slot mbili nadhani hutokuwa na tatizo labda kwa kuongeza tu hata ikiwa Irdeto au Viaccess haitokuwa na tatizo kwako.
 
hz chanel za mtv1 na mtv2 naweza kutmia receiver ya strong 4652? kama ndio naomba frqnc zake wadau.
 

Kaka 2mefungwa lakini basi ndo mpira. Kuhusu AD sports unahitaji offset dish la ukubwa angalau 4ft na high gain ku-lnb utakuta imeandikwa 0.3dB
 
kuhusu habari zote zihusuzo AD sports na Aljazeera sports nawaombeni mtembelee hapa jsc-cards.com
 
Mimi ni mpenzi wa jukwaa hili.Naomba mwenye kujua jinsi ya kuingiza biss keys kwenye channel ambazo zimefungwa mfano ile ya One Africa TV 4044 H 2848 katika satellite ya Intelsat 906.Mimi nina receiver ya Wiztech 8020 HD PVR naweza kuingiza hizo key?Kuna receiver za MediaCom zina sehemu ya kuingiza keys sijui kama zinaweza kutumika.Mwenye kujua naomba anijuze juu ya hili.
 
Kibukila,
w/end nitakutafutia latest software ya decoder yako na ntakuelekeza jinsi ya kuistall na kuweka biss keys.
 
Last edited by a moderator:
 
Jamani naombeni msaada nina dishi langu lina lnb mbili na nilikua naona hizi tv local pamoja na cctv,al jazeera et.c. Ila tatizo sasa lilipigwa na upepo likaanguka nimeweka upya kwa sasa naona al jazeera na cctv peke yake! Nimescan na kuscan nimechemka msaada tafadhali
 
 
Mimi natumia Dstv lakini mida ya asubuhi mpaka jioni kuna baadhi ya channel huwa zinagandaganda yaani kama cd chafu ikiwa kwenye deki na mida ya saa 1 ya jioni huwa safi sijui tatizo nini waungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…