Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Niaje Gunerz mwenzangu hope uko njema na Inshalaahh leo tutashinda na hata tukifungwa we say "IN WENGER WE TRUST".
nimebahatika kuagiza HUMAXir2020hd Decorder with TWO card slot
STB_S_IR2020HD.jpg

na nimeagiza CARD ya Aljazeera Sports na AbuDhabi Sports.
Sasa naomba maujanja ya kuweza kuitumia hii kitu TO THE MAXIMUM, kuanzia ni aina gani ya dish nifunge na LNB nagapi ni weke.
 
Mkuu bei yake ikoje hiyo
 
Mkuu, Card ya Al Jazeera sports ina sehemu mbili kuna yenye Channels 8 na channels 10 kama ni Tanzania BIRD 6 @ 26° East ina foot print na dish lake ni 250cm C BAND ina option ya HD1 & HD2 ambazo ziko Hot Bird 13C ina foot print Europe halafu kwa kuwa Receiver ina slot mbili nadhani hutokuwa na tatizo labda kwa kuongeza tu hata ikiwa Irdeto au Viaccess haitokuwa na tatizo kwako.
 
hz chanel za mtv1 na mtv2 naweza kutmia receiver ya strong 4652? kama ndio naomba frqnc zake wadau.
 
Niaje Gunerz mwenzangu hope uko njema na Inshalaahh leo tutashinda na hata tukifungwa we say "IN WENGER WE TRUST".
nimebahatika kuagiza HUMAXir2020hd Decorder with TWO card slot
STB_S_IR2020HD.jpg

na nimeagiza CARD ya Aljazeera Sports na AbuDhabi Sports.
Sasa naomba maujanja ya kuweza kuitumia hii kitu TO THE MAXIMUM, kuanzia ni aina gani ya dish nifunge na LNB nagapi ni weke.

Kaka 2mefungwa lakini basi ndo mpira. Kuhusu AD sports unahitaji offset dish la ukubwa angalau 4ft na high gain ku-lnb utakuta imeandikwa 0.3dB
 
kuhusu habari zote zihusuzo AD sports na Aljazeera sports nawaombeni mtembelee hapa jsc-cards.com
 
Mimi ni mpenzi wa jukwaa hili.Naomba mwenye kujua jinsi ya kuingiza biss keys kwenye channel ambazo zimefungwa mfano ile ya One Africa TV 4044 H 2848 katika satellite ya Intelsat 906.Mimi nina receiver ya Wiztech 8020 HD PVR naweza kuingiza hizo key?Kuna receiver za MediaCom zina sehemu ya kuingiza keys sijui kama zinaweza kutumika.Mwenye kujua naomba anijuze juu ya hili.
 
Kibukila,
w/end nitakutafutia latest software ya decoder yako na ntakuelekeza jinsi ya kuistall na kuweka biss keys.
 
Last edited by a moderator:
nimetoa china moja kwa moja sijanunua hapa

Niliwahi kuchat na Wale manufactures wa Alibaba.com walinambia.. hawafanyi retail they are not selling to end.users ila wakanambia wanaweza kuuza sample but ina last only 6 months . Kama ulinunua moja basi walikuuzia sample ambayo baadhi wanafanya miezi.Sita wengine wanakupa miezi.mi nne .. kama unahitaji ambayo inakaa muda mrefu lazima ununue kwa.whole.seller .. nikawauliza nani.anayeuza Tanzania Sababu nimetafuta sana wakanambia hawatoi identity za wateja.wao Sababu hii product ni iligeal
 
Jamani naombeni msaada nina dishi langu lina lnb mbili na nilikua naona hizi tv local pamoja na cctv,al jazeera et.c. Ila tatizo sasa lilipigwa na upepo likaanguka nimeweka upya kwa sasa naona al jazeera na cctv peke yake! Nimescan na kuscan nimechemka msaada tafadhali
 
Niliwahi kuchat na Wale manufactures wa Alibaba.com walinambia.. hawafanyi retail they are not selling to end.users ila wakanambia wanaweza kuuza sample but ina last only 6 months . Kama ulinunua moja basi walikuuzia sample ambayo baadhi wanafanya miezi.Sita wengine wanakupa miezi.mi nne .. kama unahitaji ambayo inakaa muda mrefu lazima ununue kwa.whole.seller .. nikawauliza nani.anayeuza Tanzania Sababu nimetafuta sana wakanambia hawatoi identity za wateja.wao Sababu hii product ni iligeal

ni sawa. Kule hizo dongle zinauzwa kama karanga nina avatar 2 kama 5 hivi nimekosa software kwa sasa natumia kama receiver ya kawaida
 
Mimi natumia Dstv lakini mida ya asubuhi mpaka jioni kuna baadhi ya channel huwa zinagandaganda yaani kama cd chafu ikiwa kwenye deki na mida ya saa 1 ya jioni huwa safi sijui tatizo nini waungwana
 
Back
Top Bottom