Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

hapo bhana watu wamefunga kwa ajili ya mpira tu kuna irib tv3 na irib vanesh katika habari aljeezira zimejaaa nzuri hapo lugha tu ndo tatizo
 
Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041
 
"Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041"

Kumbe Astra 28E inapatikana TZ? Nimeangalia footprint nikaona iko mbali sana. Dish size gani mkuu?
 
Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041

Kwahiyo kaka inawezekana kuongeza lnb hapahapa kwenye sat ya irib tvs. Tupe uelekeo kama ni juu au chini ya c-band ya irib tv.
 
1408000364980.jpg
 
Kama picha inavyoonyesha ni satellite tofauti lkn zimekaribiana hivyo unaweza kuzibalance
 
Km umezipata utaona tv3 iko scrambled kuifungua tumia biss key hii 9E 37 79 4E B9 7F 4A 82
 
Back
Top Bottom