dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 539
- 119
Hiyo C band iko satelite ipi hap ilipo?
Hiyo cband ni irib iko arab sat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo C band iko satelite ipi hap ilipo?
Nami ndio swali langu hilo hilo.Hiyo C band iko satelite ipi hap ilipo?
Hiyo cband ni irib iko arab sat
Na astra 28 e ni hapo hapo? Au ndio hiyo KU?
Opposite upande wa jeki ktk mastari uleule unaweza pata Amos5 mi sikuweka sababu nina dish jingine dogo
Kwa ninavyooona hiyo tv3, ipo astra 2f, 28e , kuna channels nyingine za cnn europe sky, bbc n.k, je hizo chanells zote unazipata?
Hizo sizipati napata tu za mult tv
Astra28° ukiangalia lyngsat in chanel nyingi ila frequency iliyopo hata ukiscan nimoja tu 12525 H 27000 peke yake ina chanel 28.
Uko sahihi kabisa. Sio rahisi kuzipata zote kwa sababu sehemu ya beam ya hii satellite inaishia Uingereza tu (UK beam), hasa kwa channels za SKY.Hizo sizipati napata tu za mult tv
kaka ktk wiztech 999 unaweza kuenable bisskey kwa kubonyeza 999 ktk remorte yako.kisha ukienda kwenye menu upande wa chanel manager utakuta bisskey kama inavyoonyesha ktk picha hapo chini
Au una update kwanza kunamtu aliniambia huwa kunanjia yaku update ambayo pia nilitafuta mtandaoni sikupata.Asa kamakuna anayejua atusaidie tafadhari.
Satellite nyingine ni km SES5 nayo iko pale pa Amos5
hapo kwenye ses5 kuna package ya zuku na star times, chanel zote zinaingia ila hazionyeshi zote isipokuwa za matangazo tu zuku zone na star guide
Hapo pia si kuna kbc na UBC au nazo walifunga
Hapo pia si kuna kbc na UBC au nazo walifunga
ni kweli kaka kuna softwere kwa ajili ya kuapdate ila kama receiver yako ni feki ukiupdate tu itakufa hapohapo.
kaka ktk wiztech 999 unaweza kuenable bisskey kwa kubonyeza 999 ktk remorte yako.kisha ukienda kwenye menu upande wa chanel manager utakuta bisskey kama inavyoonyesha ktk picha hapo chini
Bilashaka unaweza kuniambia kama receiver yangu inatatizo gani. Nikiingia sehemu ya ku upgrade software kuna option mbili 1. Upgrade code
2. Upgrade user db nikiupgrade 1 inashindwa inaandika file error wakati namba 2 inadownload ila mwisho sioni kilichobadilika. Nisaidie nifanyeje?