kingdavidtheone
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 247
- 28
Kama zipi? Ndo maana tumekwambia weka orodha ya ambazo hazipo scramble ili tuanzie hapo.
bein sport sasa out eutalsat 7A hawapo tena!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zipi? Ndo maana tumekwambia weka orodha ya ambazo hazipo scramble ili tuanzie hapo.
Wana jf ningependa jua jinsi ya kupdate. Decoder yangu ya wiztech wz-999HD
Chek hii link mkuu::http://ast-micsupport.net/ nadhani uko utapata msaada mzazi
Hv kwa kutumia receiver ya azam naweza kupata channel za fta hasa hz za din emmanuel tv na nyinginezo.
mimi weekend zote hua siendi vibandani tena,nakaa nyumbani kwangu na laptop then naunganisha tv direct kwenye tv yangu, SMART wana bundle nzuri sn na ni cheap pia link yao ipo vzr sn, pia voda ni nzuri kwa sehemu ambapo SMART haishiki vzr kwakweli vibandani labda niamua tu kwenda, pia unaweza tumia decoder flani inaitwa DREAMBOX ni nzuri sn hii kitu ila unatakiwa kuwa na reliable Internet connection, me everything through Internet now days hayo madish kwangu wala sihitaji.
Nilienda kwa levi niliambiwa yapo kumbe ni 135cm nikaacha natafuta kwa ajili ya mota yangu maximum dish size ni 120cm nikiweka hilo la 135cm haizungushi vizuri, nitaenda kuangalia kesho hilo musa telecommunication lipo kwa wapi?mussa telecommunication, Levi store au maduka jirani na jengo la simba msimbazi
unatumia lnb gani kwa yahsat 1Mazee kama una ungo wa ft 8 unaweza kupata Yahsat1 na local chnls zote bila shida yoyote. Yahsat kuna chnls nyingi za movie SD NA HD, KAMA VILE MBCs zote, Dubai zote, Fox, gem,Discovery, star movies, etc ni patamu hata kuliko E7wa. Yahsat ipo karibu sana NSS 12,ILIPO K24 YA KENYA. UNANYANYUA DISH KIASI CHA 4CM YAANI UNAACHA MUHIMILI KUZAMA NDANI 4CM. KWA LNB ULIYO NAYO UNAPATA BEAM ZOTE WEST NA EAST. UTAENJOY ILI MBAYA.
kwanza tambua hiyo sat beam yake haifiki huku kwetu so signal zake hazina nguvu ya kutosha pili jaribu kutumia ku yenye nguvu
kwanza tambua hiyo sat beam yake haifiki huku kwetu so signal zake hazina nguvu ya kutosha pili jaribu kutumia ku yenye nguvu
njia ngapi!?