Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

kwa dar mpo mbali na beam ya astra na eutelsat 16.wengi wamejaribu wakachemka ila jaribu huenda ukazitia mkononi.mwindaji hashindwi kirahisi mkuu

Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka
 
msaada namna ya kupata str 4922 nipo arusha
 
Nilesat @ 7w naipata vizuri sana hapa Arusha ila
Eutelsat 10A @10E
Eutelsat 16A @ 16E
Astra @ 2f 28.2
nimeshindwa kuzipata kabsa natumia dish Ft6,japo niliwai kujaribu kupata Nilesat @7w kwa dish la ft3 nikapata ila usiku signal inashuka

wakuu hakuna mwenye majibu ya haya?
 
Wakuu naomba kufahamu nina dishi la ZUKU je nikinunua reciver ya FTA naweza pata local chanels?
 
Ndio mkuu nyanyua dish juu bila kwenda kushoto wala kulia utakutana na continental package11137v30000

Pamoja sana ngoja nijikaze nichukue recicer ya Mpg4, maana hawa jamaa wa zuku nuksi sana wana kata zooooote.
 
Back
Top Bottom