Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

OK! Ila YouTube yake Ina access hata kwa Wifi hotspot ya Simu au mpaka USB WiFi dongle??

Haina youtube hata v7 combo haina labda v8 golden ndo ina youtube,youpon,map na dlna network sharing na smartcard reader built in kiujumla hii best
 
Mbona Startv imekata hapa kwenye satellite ya Is906? Mwenye taarifa atujulishe.
 
Chaneli Ten na Star TV zimepotea Intel Sat 906. TBC hata siikumbuki kama ipo huku FTA
 
Tbc na Channel ten ndyo kikwazo kikubwa hapo intelsat 906 kama na star tv nao wameanza kazi kweli kweli nikirudi home nita comfirm
Channel ten wapo ila kwa MPEG4 receiver pia TBC signal ni ndogo sana.Ila Star tv mpaka kwenye DSTV wamepotea.
 
Star tv siku ya nne leo siipati.
Ch.10 naipata vizuri sana.
 
Back
Top Bottom