Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Model gani iko vizuri zaidi kwa fta, naona kama decoder za continental ziko model tofauti tofauti.continental
...Model gani iko vizuri zaidi kwa fta, naona kama decoder za continental ziko model tofauti tofauti.
Ina niniWrite your reply...NNUNUA STARSAT SR 2000 HD
Ni local channels za hpa kwetuSamahani FTA ni nin naomba kujuzwa
Nzuri leta maufundi ya receiver ya mp4 yenye bei rahisi ni tsh ngapi kwa FTA ?Wakuu humu ndani Heri ya Christmas
Ndiyo.
Kwanini utaikosa? Mpeg 4 decoder ina uwezo wa kuonesha S au Mpeg2 video, ila Mpeg 2 (S) haiwezi kuonesha video za Mpeg 4 (S2)
Kwahio hapo Mediacom 930 TBC 1 naweza kupata? Nisaidie masafa mapya mdau msaadaKwanini utaikosa? Mpeg 4 decoder ina uwezo wa kuoesha S au Mpeg2 video, ila Mpeg 2 (S) haiwezi kuonesha video za Mpeg 4 (S2)
Zipo kibao sana tu
Zipo kibao sana tu
- Kuna Qsat model Q15, Q23, Q26 nk. Hizi bei zake zinaanzia 150,000/- kupanda juu kulingana na model. Hizi ni FTA (HD) lkn Uzuri wake ni kwamba ina unscramble channels zote zilizofungwa kwa PowerVU na BISS key. Hawa hawana decoder feki sokoni.