Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

kama unatumia zuku katka uelekeo mpya kama ww ni fund mzuri kuna chanel 15 za free unaweza kuongeza kama huko dar tuwasiliane 0658123412
 
habari mkuu arselona, wanafunzi tupo tayari kwa somo! tunasubiria utaalamu wa jinsi ya kuset dish n.k
 
ni kweli ila tatizo nililonalo sasa ni kuwa nimepoteza modemu yangu kwani cmu haitoshelezi mahitaji yangu.
 
jamana kwa wale mlipo kwenye facebook mnaopenda pia kujifunza mada kama hii mnakaribishwa kwenye grup linalo itwa

Ulimwengu wa fta sattelitetvs

2kiongozwa na admin Arseloa
 
jamana kwa wale mlipo kwenye facebook mnaopenda pia kujifunza mada kama hii mnakaribishwa kwenye grup linalo itwa

Ulimwengu wa fta sattelitetvs

2kiongozwa na admin Arseloa

nakuja hukohuko
 
natafuta fundi wa uhakika wa kunifungia satellite ya badr au nilesat, fundi wa uhakika mana fundi wa awali alishindwa dish langu ni futi sita
 
naishi tabata mwananchi

Una ku lnb ya uwezo gani kupata badr kwa 6 ft prime focus dish? Labda ungezungumzia 8-10ft,na Lnb iwe ni star gold black ama fuji. Vinginevyo mazee hata fringe yake tu hupati.
 
Una ku lnb ya uwezo gani kupata badr kwa 6 ft prime focus dish? Labda ungezungumzia 8-10ft,na Lnb iwe ni star gold black ama fuji. Vinginevyo mazee hata fringe yake tu hupati.
na hii ya nilesat
 
na hii ya nilesat

Nilesat ni Easy. Unaweza ipata Nilesat 201 kwa dish la 150cm offset ama 180cm prime focus ambalo ndilo hilo la 6ft. Ila pia uwe na Lnb ambayo ni highly sensitive ili upate signal za frq zote.0.1dbw
 
kaka leta maujanja nimefunga dish ya futi 3 natumia receiver ya mpg4 Astrovox vsr 8900 napata hii parkage ya ting,yaani chanel zote za tz na kidogo za kigeni,yani jumlanina chanel 24 haapa za bure,tagadhali nisaidie kupata chanel za bure za movies kwani mi napenda muvies kiliko kila kitu..msaada wako mkuu.
 
Zuku ipo nyuzi 4 east, unatumia kifaa gani kupata signal? ili nikupe frequence ya kutafutia.
 
TBC1 ilikuwa inapatikana kwenye dish la ft 8 lakini leo imekata kabisa.Nani anaipata kwenye satellite ya Local channels ila kwenye DSTV inaonekana vizuri sijui wamehama au vipi?
 
Wamebadili symbolate ambayo ni 3072 na frequence ni 3893.
 
Back
Top Bottom