Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

subiri itarudi. Tatizo liki juu ya uwezo we2. Kwa kweli mwenzenu sion kupungukiwa chochote kwa wao kutokuwepo hewani.
 
bro unaweza kuipat bt lzm uw na rcv ys mpeg 4 inayoweza kupatch biss key

unatakiwa kuwa na ungo wa prime focus ft6 na mpeg4 patched rcva. Elekeza ungo wako magharibi hali mimetazama sana juu(pima pole ya nyuma 15cm hivi kutoka juu). Nili2mia dakika 5 kuipata hapa kilosa. ukisha scan kutegemea na model ya rcva yako unatakiwa kuweka namba hizi 11 11 11 33 11 11 11 33.
 
kwa wote walionunua srt 4922A kwangu sasa wanaweza kufurahia rcva zao kwa kuweka sw mpya kwenye rcva zao. Kwa sw hii wanaweza kukonekt modems 1kwa1 kwenye rcva zao na kufaidi yaliyomo ndani ya rcva zao. Aidha wanaweza kuweka cccam account nakufurahia ambayo ni more stable na reliable zaidi ya chochete.inapatikana crosat.us> upload>strong rcva>strong 4 middle east na upakue sw 1.31p ya strong 4920/4922 ya tarehe 19 august. Li unzip na copy kwenye flash for upgrade. Hakikisha umeme haukatiki wakati unafanya upgrade. Ukimaliza nenda kwenye ip setting chagua 3G na ujaze internet kwenye APN, *99# kwenye NUMBER. Exit to save. Hapi moment.
 
lnb ya ku band kizibo chake kile cheupe kimetoka je naweza kupata channel? Km naweza kupata naomba msaada wa setting za ku band kwenye receiver ya gulf star maana nilifuta sasa cjui setting zake
 
lnb ya ku band kizibo chake kile cheupe kimetoka je naweza kupata channel? Km naweza kupata naomba msaada wa setting za ku band kwenye receiver ya gulf star maana nilifuta sasa cjui setting zake

unaweza pata tu chnls ila inaweza haribika kama itaingiza maji au k ikipata unyevu. Unaweza ifunga kwa ku2mia nylon nyeupe. Kuhusu setting bado hujasema kama unataka ya namna gani setting ya cband au ya ku-band. Hata hivyo binafsi cna urafiki na rcva za gulf.
 
Mkuu Arselona ,

Mimi nipo hapa Dar na natumia receiver ya Euro star mpeg 2 lakini pia dish la euro star futi 6 na ninapata channel karibia 60 zikiwemo ITV,Capital,EATV,Channel10 na Star tv kasoro TBC.Channel zimejaa za dini ikiwemo emanuel tv,Aljazeera,CCTV9,BETV,TV Mozambique (channel zipo 3).Nilikuwa napata CTL Africa na Nollywood movie channel imepotea.

Baada ya kuwasoma nimegundua inabidi ninunue receiver ya mpeg4 HD ili nipate channel nzuri zaidi hasa za movies na soka.Asanteni kwa darsa lenu maana nimeshazungusha ungo na blind scan mara kibao bila mafanikio.
 
Last edited by a moderator:

Kwa kweli lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwafanya wa2 wawe huru kuhusu kufanya maamuzi yahusuyo masuala ya fta tvs. Nikupitia hapa 2 unaweza hasa kwa watanzania kujadili kwa ku2mia lugha ye2 ya kiswahili.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli lengo la
kuanzisha uzi huu ni kuwafanya wa2 wawe huru kuhusu kufanya maamuzi
yahusuyo masuala ya fta tvs. Nikupitia hapa 2 unaweza hasa kwa
watanzania kujadili kwa ku2mia lugha ye2 ya kiswahili.

Mkuu nimeweza kuipata Amos 5 lakini imekuwa vigumu kuipata eutelsat 16 je kuna tatizo? 90cm dish.
 
Kwa anayefahamu anijulishe jinsi ya kupata Aljazeera sports 1+hadi 10+،satt gani ambayo zipo zote?
 
dish-2.jpgnani anaweza kufunga maujanja haya tuhabarishane wakuu
 
jaman ebu tumakinike. We fikiria rcva zetu tulio wengi ni mediacom 930, mpaka sasa chnls za Ting bado 2nazisikia mitaani halafu cc haohao 2anze kufikiria uwezekano wa kuweka lnb 11 kwenye ungo m1. Ha2wezi kujua vi2 vikubwa kabla ha2javijua vidogo.2badilishe kwanza rcva ze2 halafu 2anze kujifunza kwanza kukamata sat rahic kama is906, is904, w4/7, amos5, ses5, w3c, is20, nss7 etc. Kutoka hapo 2andike biss kwenye rcva ze2. 2jue sat flan ungo uelekee mash na sat hii ungo uelekee magh c kwa kukariri bali kwa kuelewa 7bu. Kujua pia sats zilizo jiran(hii itawasaidia kujua sat ipi unaweza kuiweka na nyingine kwenye ungo m1 na ukapata zote)
 
Back
Top Bottom