Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hii nyumba siku hizi imepooza sana, . Nadhani umuhimu wake umepotea baada ya wengi wetu kutumia sana kwa kina KUNGU1, ambapo tunapata majibu ya maswali yetu haraka na kwa wakati na kwa wingi.
 
Ule uzi wa akina Kungu umechngamuka sana, na unawachangiaji wengi hasa Wakenya. Wako vizuri ktk mambo haya.
 
Ule uzi wa akina Kungu
umechngamuka sana, na unawachangiaji wengi hasa Wakenya. Wako vizuri ktk
mambo haya.

Na pia wengi wao wanathubutu kufanya majaribio, jambo ambalo wengi wetu hapa kwetu,hatufanyi, tukisha set madish yetu kwa chnls za Tz basi, tumefika. Hatupo ktk ULIMWENGU WA SATELLITE NA FTA CHNLS ZILIZOPO HAPO ANGANI. KWA UPANDE wangu nilipopata maelekezo baadhi kutoka humu ndani na mengi kutoka kwa Kina Kungu1 nimejaribu baadhi ya sat, na nimeona ugumu na wepesi wa kupata baadhi ya sat hapa bongo. Mfano; Yahsat1, E7wa, chinasat, badr 4,6. Ilinigharimu dish kubwa ili niweze kupata hizi sats, Iliyo nyepesi sana kunasa ni ARABSAT 5C KWA 6FT PF DISH. HIZO NYINGINE HAPO JUU UNALAZIMIKA KUWA NA LNB YENYE NGUVU KAMA STARGOLD SG700; AMA INVERTO BLACK.
 
lakini kinachonishangaza ni kuona hata huko wa bongo hamuulizi maswali, mnapitapita tu. K

Mkuu, wabongo wengi kule wanakimbia lugha, na bila shaka mkuu Arselona uliliona hilo ndiyo maana ukaanzisha thread ya Kiswahili lakini wabongo tumekuwa wazito kujifunza na kufundisha wengine. Badala yake watu wanashinda MMU na kwingineko huko wakija huku wanakuja na porojo. Kule kwa wakina Kungu1 hakunaga porojo na ukileta porojo wanakupotezea hakuna mtu anayeshughulika na wewe.
 
Mkuu Arselona kuna siku nimepita pale Kariakoo, nilikuwa na check kama nitapata receiver mzuri. Kuna fundi mmoja aliniambia kuwa kuna dish ndogo kama za Zuku lakini zinakamata channel nyingi kuliko madishi makubwa lakini hakunambia niaina gani ya dish. Hii imekaaje mkuu?
 
uwingi wa tv chnls hautehemei dishi bali satellite ungo unakoelekea. kama sat ina chnls nyingi basi ukiitega utazipata. kama ziko chache vivyo hivyo. hizo ni porojo za mafundi wanapotaka kuwaibia wateja wao.
unapotaka kupata chnl fulani unatakiwa kwanza kujua sat yake, kama beam yake inafika eneo ulipo na aina na ukubwa wa dish linalohitajika. mafikiri umenielewa
 
Mkuu, wabongo wengi kule wanakimbia lugha, na bila shaka mkuu Arselona uliliona hilo ndiyo maana ukaanzisha thread ya Kiswahili lakini wabongo tumekuwa wazito kujifunza na kufundisha wengine. Badala yake watu wanashinda MMU na kwingineko huko wakija huku wanakuja na porojo. Kule kwa wakina Kungu1 hakunaga porojo na ukileta porojo wanakupotezea hakuna mtu anayeshughulika na wewe.
uzi huu niliuanzisha kabla ule wa kiingereza.
 
uwingi wa tv chnls hautehemei dishi bali satellite ungo unakoelekea. kama sat ina chnls nyingi basi ukiitega utazipata. kama ziko chache vivyo hivyo. hizo ni porojo za mafundi wanapotaka kuwaibia wateja wao.
unapotaka kupata chnl fulani unatakiwa kwanza kujua sat yake, kama beam yake inafika eneo ulipo na aina na ukubwa wa dish linalohitajika. mafikiri umenielewa

Nimekuelewa mkuu, asante.
 
Na pia wengi wao wanathubutu kufanya majaribio, jambo ambalo wengi wetu hapa kwetu,hatufanyi, tukisha set madish yetu kwa chnls za Tz basi, tumefika. Hatupo ktk ULIMWENGU WA SATELLITE NA FTA CHNLS ZILIZOPO HAPO ANGANI. KWA UPANDE wangu nilipopata maelekezo baadhi kutoka humu ndani na mengi kutoka kwa Kina Kungu1 nimejaribu baadhi ya sat, na nimeona ugumu na wepesi wa kupata baadhi ya sat hapa bongo. Mfano; Yahsat1, E7wa, chinasat, badr 4,6. Ilinigharimu dish kubwa ili niweze kupata hizi sats, Iliyo nyepesi sana kunasa ni ARABSAT 5C KWA 6FT PF DISH. HIZO NYINGINE HAPO JUU UNALAZIMIKA KUWA NA LNB YENYE NGUVU KAMA STARGOLD SG700; AMA INVERTO BLACK.

Vipi Yahsat uliipata Dar? Kama uliipata naomba kujua ungo gani ulitumia ili niijaribu hapa nina LNB ya Stargold nataka kujaribu pia.
 
Vip AZAM TV siwezi ongeza channel nyingine, kama naweza nivip naweza fanya na kwa code zipi?
 
Na pia wengi wao wanathubutu kufanya majaribio, jambo ambalo wengi wetu hapa kwetu,hatufanyi, tukisha set madish yetu kwa chnls za Tz basi, tumefika. Hatupo ktk ULIMWENGU WA SATELLITE NA FTA CHNLS ZILIZOPO HAPO ANGANI. KWA UPANDE wangu nilipopata maelekezo baadhi kutoka humu ndani na mengi kutoka kwa Kina Kungu1 nimejaribu baadhi ya sat, na nimeona ugumu na wepesi wa kupata baadhi ya sat hapa bongo. Mfano; Yahsat1, E7wa, chinasat, badr 4,6. Ilinigharimu dish kubwa ili niweze kupata hizi sats, Iliyo nyepesi sana kunasa ni ARABSAT 5C KWA 6FT PF DISH. HIZO NYINGINE HAPO JUU UNALAZIMIKA KUWA NA LNB YENYE NGUVU KAMA STARGOLD SG700; AMA INVERTO BLACK.

Mtaalam. nahitaji sana kupata E7WA hapa Dar. ninalo dish la ft 8 c band. msaada wako plz
 
Mazee kama una ungo wa ft 8 unaweza kupata Yahsat1 na local chnls zote bila shida yoyote. Yahsat kuna chnls nyingi za movie SD NA HD, KAMA VILE MBCs zote, Dubai zote, Fox, gem,Discovery, star movies, etc ni patamu hata kuliko E7wa. Yahsat ipo karibu sana NSS 12,ILIPO K24 YA KENYA. UNANYANYUA DISH KIASI CHA 4CM YAANI UNAACHA MUHIMILI KUZAMA NDANI 4CM. KWA LNB ULIYO NAYO UNAPATA BEAM ZOTE WEST NA EAST. UTAENJOY ILI MBAYA.
 
Mtaalam. nahitaji sana kupata E7WA hapa Dar. ninalo dish la ft 8 c band. msaada wako plz

Mazee mimi si mtaalamu bwana, utundu nimepata humu humu ndani kutoka kwa Arselona, na ushauri wa wengine, kwenye uzi wa Kungu 1, nilichofanya mimi ni kuingia ghagarama ya vifaa na kujaribu, na nilipokwama niliuliza tena na tena na kurudia tena. Ni jambo linalotaka muda na ENTHUSIASM YA KUTOSHA. UWE NI ASAS KIUKWELI.
 
Habari wana JF,

Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.

Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.

Aidha nategemea kupata maswali kutoka kwenu ili niweze kutoa majibu.

Mijadala imefunguliwa rasmi.

sisi wenye vingamuzi vya kulipia tunaweza ongeza channel
 
Back
Top Bottom