Pokea hii, Sijawahi kukaa na mwanamke kwenye mahusiano zaidi ya miezi mitatu.Kuwa introvert haimaanishi kwamba hatuongei au hatucheki na wanawake...kiufupi kwangu Mimi Nina marafiki zangu wakike wachache ambao nao mwanzoni walikuwa wananiogopa kutokana na tabia yangu ya kutochangamana ...
Ila kadiri siku zinavyoenda ukaribu unakuja lakini linapofika suala la mahusiano au mapenzi Sina historia nzuri
Kuhusu kupata mtu anayenipenda sana Hilo silikatai ...ila naamini katika maisha haya watu huja na kupotea Leo nikipata mtu wa namna hii kesho nikikosa sawa Hila naweza kupata tena
Hii ni bab kubwa Sasa...Pokea hii, Sijawahi kukaa na mwanamke kwenye mahusiano zaidi ya miezi mitatu.
Huwa nampata mmoja tunachengana kauli kidogo anaondoka.
Nikimpata wiki 6-8 analiwa na washikaji tunaachana.
Sijawahi pata wa kudumu naye, Japo naongea na watu vema mtaani kwangu wala sina nongwa na watu.
Bahati mbaya nyingine niliyonayo ni kupendwa na mashemeji na wake za watu.
Sijawahi kuwa wa kwanza kumfukuza mpenzi hata kama amenisaliti.Hii ni bab kubwa Sasa...
Nadhani ujitathmini ..unaweza kuta tatizo unalo wewe
Pia inaonekana huna uvumilivu .
Nani wa kwanza kuvunja mahusiano kati yenu ?
Vitu gani hupelekea relationship break up?
😂😂wanatusanifu tu hawaKwaufupi hamna cha introvert wala nn
Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .
Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.
Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k
SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE
NIHAYO TU [emoji23]
Endelea tu maisha yenyewe ni gain/loss Hadi tunakamilisha safari yetu hapa duniani ...Sijawahi kuwa wa kwanza kumfukuza mpenzi hata kama amenisaliti.
Huyo mmoja aliondoka kimya kimya, Nilipojaribu kumtafuta kwa simu nilikula BLOCK.
Nilipokwenda kwao sikumkuta, Nilipata taarifa baadaye ya kwenda GEITA kwa mamaye.
Wengine wawili watatu wao waliona aibu wakaamua kuondoka wenyewe kwa kuwa walitembea washikaji zangu pale mtaani.
Mwingine alipata bwana anayemiliki kiwanda cha keki akasepa.
You haven't loved someone.. ukipenda kabisa utakuja futa hili komenti.
Introvert tuna roho ya huruma sana linapokuja suala la mahusiano au urafiki ..Kuna mwanamke mmoja kipindi namfukuzia alinitukana sana matusi ya nguoni na kashfa juu. Baada ya kupata ujauzito wa mtu mwingine na kujifungua, mwenye mtoto kamkimbia. Sasa anajidai kanikubali lakini kwa sharti moja la nimsaidie kumtunza mtoto. Hata kama ni uintrovert, sifanyi ujinga huo wa kulea mtoto ambaye siyo wangu. Kila nikifikiria alivyokua ananitukana napata hasira
Yap watu wanaopenda attention muda wote hang outs huwa siwaelewagi mtu akikuona umetulia mwenyewe muda mrefu anatoa macho kama amepoteza nauli halafu kitu ambacho sikipendi kabisa ni kwenda ugenini ndio balaa naonaga kama nipo jela nikikaa na watu wapya sinaga story kabisa.Naamini namimi Nina hizo ideas ..I like so much about freedom
Nilishawaambia hata kwenye ule uzi wao, hakuna kitu inaitwa introvert hapa duniani tena kwa huko mambele wanaojiona maintrovert ndio hufa kwa depression kwasababu ya mastress kibaoKwaufupi hamna cha introvert wala nn
Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .
Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.
Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k
SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE
NIHAYO TU [emoji23]
Inategemea na situation, kwa huyu mwanamke siwezi kumuonea huruma hata kidogo, ataabike kimpango wakeIntrovert tuna roho ya huruma sana linapokuja suala la mahusiano au urafiki ..
Hizi ni personality traits ndugu ...watu hawapendi kuwa katika hali hiyo mbona hutaki kuelewa ..watu hatupo sawa na hata tabia tumetofautiana..ilifaa usome kidogo kuhusiana na PSYCHOLOGY & BEHAVIORAL SCIENCENilishawaambia hata kwenye ule uzi wao, hakuna kitu inaitwa introvert hapa duniani tena kwa huko mambele wanaojiona maintrovert ndio hufa kwa depression kwasababu ya mastress kibao
Not prouding ...but it's accepting who we are and embarrassing changes ...hii ndo itatufanya tupunguze hata matatizo ya anxiety disorder na depression ..... Ukijijua wewe ni nani na upo kundi gani basi Ina msaada mkubwa sana katika maisha yako .....USIPO SURRENDER.., YOU WILL HAVE INTERNAL CONFLICT AU PSYCHOLOGICAL WAR ....SO THE BEST WAY IS TO SURRENDER TO THE SELF AND ACCEPTANCE THEN MOVE FORWARD LIVE A LIFE YOU DREAMEDKweli mtu unakuwa proud kujiita "Introvert"! Kuweni serious hakuna viumbe wa namna hiyo Tz, nyie ni watu wenye viburi na majivuno mmejificha kwenye kichaka cha uintrovert
Narudia tena hakuna maintrovert bongo hapa maana mtaani hampo na hamjawahi kuwepo zaidi ya watu wenye viburi na majivuno yaani ma anti social