Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Mimi ni introvert halafu nina kigugumizi kikali. Tone yangu ya uongeaji haifurahishi masikioni mwa watu. Nimeachana na wanawake wengi kwa sababu ya hilo. Jambo hilo limepelekea nikose raha, nahisi nina depression au inferioty complex, so sad 😭😭. Uintrovert na kigugumizi vimenikosesha mazuri mengi sana.
Kwasababu ya uintrovert, sipati mademu wakali, napata wanawake waliochoka, walevi, wagonjwa wa akili, wazee au walemavu 😭😭, mademu wazuri wenye akili zao wananiona kama mwehu ninapowatongoza, dah!, uintrovert wangu umezidi.
Kwasababu ya uintrovert, nina vita vya kujihukumu kwamba kila ninachofanya nakosea, personal conflict.
Pole sana jione wewe ni Kama wengine ni wathamani sana! Umeumbwa na Mungu! Mwanadamu ni WA thamani sana akiwa Katika Hali yeyote ile kwa kuwa alichokiumba Mungu ni safi! Kizuri! Na Cha thamani Kubwa! Mungu hakosei
 
Pole sana jione wewe ni Kama wengine ni wathamani sana! Umeumbwa na Mungu! Mwanadamu ni WA thamani sana akiwa Katika Hali yeyote ile kwa kuwa alichokiumba Mungu ni safi! Kizuri! Na Cha thamani Kubwa! Mungu hakosei
Sawa mkuu.
Uintrovert unazidiana. Kuna mdogo, wa kati na mkubwa. Wanaopata shida wenye uintrovert mkubwa. Mimi nina uintrovert mkubwa. Imeshafikia stage baada ya kupambana na maisha, napambana na uintrovert.

Ila poa, yote maisha.
 
Hakuna kitu kinaitwa kuwa introvert nor extrovert. Bali ni only psychological phenomenon na tabia zilizosababishwa na mazingira uliyokulia. It's nothing permanent, kama hizo labels zinavyosema.

Binadamu ni kiumbe adaptable with a ridiculously capable brain. Kujibandika label, not just any label but a psychological label, is an immeasurable dangerous practice.

Sababu utaji-limit wewe kama wewe na kamwe hautokuja kufikia your full potential. In other words it's just stupid.
 
Mimi ni introvert halafu nina kigugumizi kikali. Tone yangu ya uongeaji haifurahishi masikioni mwa watu. Nimeachana na wanawake wengi kwa sababu ya hilo. Jambo hilo limepelekea nikose raha, nahisi nina depression au inferioty complex, so sad [emoji24][emoji24]. Uintrovert na kigugumizi vimenikosesha mazuri mengi sana.
Kwasababu ya uintrovert, sipati mademu wakali, napata wanawake waliochoka, walevi, wagonjwa wa akili, wazee au walemavu [emoji24][emoji24], mademu wazuri wenye akili zao wananiona kama mwehu ninapowatongoza, dah!, uintrovert wangu umezidi.
Kwasababu ya uintrovert, nina vita vya kujihukumu kwamba kila ninachofanya nakosea, personal conflict.
See this guy. Wewe siyo introvert, bali wewe ni insecure. Kujiita Introvert ni kujilimit na kujipa excuse ya kutorekebisha mapungufu yako.

Nilichogundua baada kusoma akili yako ni kwamba this entire saga na trend ya introvert na extrovert ni kichaka, excuse au justification ya watu kuficha vitu wasivyovihitaji kutoka kwao. Badala ya kujirekebisha.
 
Don't

Wapuuzwe
Umetutetea sana mkuu , Kitu wasichokielewa hawa watu ni kwamba hii kitu ni natural born na kuibadili ni jambo gumu sana japo na sisi kuna muda tunatamani kushift kuwa extroverts kwenye baadhi ya occassions ila inakuwa ngumu sana yani.
 
Back
Top Bottom