Naweza nikasema, wewe haujawa serious na suala la mahusiano kwa sababu hajapatikana ambaye ni chaguo lako.
Siku atakapopatika yule mnayeendana kwa sifa, tabia, na vigezo uvitakavyo basi hata ile kadhia ya ukimya sana au kutochangia neno ukiwa na jamaa itapungua.
Sikuwa na desturi ya kuongea na wasichana tangu nikiwa shuleni, Nilikuwa mkimya sana hata nao waliniogopa sana.
Nimeanza shule mpaka nahitimu hakuna MWALIMU WA KIKE wala MWANAFUNZI WA KIKE
alowahi kuniona nikicheka hata mara moja pale shuleni.
Hivyo wanafunzi wa KE na walimu wa KE walinitungia jina na likadumu eti, "SINA BANDAMA", au "HUYU HUWA HACHEKI HANA BANDAMA".
Lakini alihamia mwanafunzi wa KE huyo tulielewana akawa rafiki yangu sana. Alinichekesha siku moja, nikacheka. Akaniambia, "KUMBE HUWA UNACHEKA"?
Ni binti mmoja shule nzima aliyeweza "kunisemesha" na "tuka