Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Kwetu sisi love is a decision not an emotion ...tunatumia sana logic hivyo unaweza Kuta tunakosa reason ya kuwa na mtu au kuwa kwenye mahusiano
Ha ha! Bado Sana wewe endelea kutafiti kuhusu introvert utajua hata hapa wanaweza shuhudia love is love ndugu.. introvert hupenda na hugugumia maumivu yao ndani kwa ndani maana si wasemaji,hakuna logics kwenye kupenda acha kutudanganya.
 
Jaribu kufuatilia sana watu wanaopenda logic au reasoning kama wanababaishwa na kitu kinaitwa mahusiano au mapenzi trust me
 
Kwaufupi hamna cha introvert wala nn

Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .

Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.

Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k

SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE

NIHAYO TU [emoji23]
 
Habari za udomo zege siku hizi hazipo au wewe unaziskia , sioni kama Kuna shida sana linapofika swala la kutongoza mtu katika zama hizi za kidijitali
Kuwa introvert haimaanishi kushidwa kutongoza mtu Bali kuweza kuhimili linapofika swala la mahusiano
Kuna watu wapo kwenye ndoa na mmoja kati Yao ni introvert.. na hii utasemaje?

Pia wapo wanawake ambao na wenyewe pia ni introverts ko sio swala la men's tu

Kama upo serious Fanya utafiti wako utakuja na majibu mazuri
Fikiri ki upana zaidi
 
Shida kubwa kwa introverts ni kwamba wanapenda kila kitu kiwe perfect kwenye maisha yao kiasi kwamba hushindwa kuchukulia makosa au madhaifu ya mtu mwingine haswa kwenye suala la mapenzi

Hapo ndo unajikuta hisia zinashuka kisa tu hujategemea kukutana na tabia flani ambazo zipo tofauti kwako kutoka kwa mpenzi wako, mfano wewe ni mkimya halafu unapata mpenzi muongeaji ani kila kitu ni kuongea ongea tu .. unakuta sasa icho kitu kinakukera kiasi kwamba unaona huyo mtu sio sahihi kwako ndio maana huwezi kudum kwenye mahusiano.
 
Nakubaliana nawewe 300%..shida yetu kubwa ni PERFECTIONISM
kweli inabidi kufanya mabadiliko hio pia hupelekea JUDGEMENT ambayo ndo relationship killer
 
Nakubaliana nawewe 300%..shida yetu kubwa ni PERFECTIONISM
kweli inabidi kufanya mabadiliko hio pia hupelekea JUDGEMENT ambayo ndo relationship killer
Mimi ni muhanga kama wewe😂 lakini tangu nimeligundua hilo suala.. nipo kwenye mahusiano yenye furaha sana.. maana huwa tuna demands nyingi sana nadhani unanielewa😅
 
Mimi ni muhanga kama wewe[emoji23] lakini tangu nimeligundua hilo suala.. nipo kwenye mahusiano yenye furaha sana.. maana huwa tuna demands nyingi sana nadhani unanielewa[emoji28]
Nimekuelewa ...yani tuna fantasy kibao
Najaribu kuwaza kwa relationship ambayo ni INTROVERT + INTROVERT sijui maisha yatakuwaje
 
Mimi ni introvert halafu nina kigugumizi kikali. Tone yangu ya uongeaji haifurahishi masikioni mwa watu. Nimeachana na wanawake wengi kwa sababu ya hilo. Jambo hilo limepelekea nikose raha, nahisi nina depression au inferioty complex, so sad 😭😭. Uintrovert na kigugumizi vimenikosesha mazuri mengi sana.
Kwasababu ya uintrovert, sipati mademu wakali, napata wanawake waliochoka, walevi, wagonjwa wa akili, wazee au walemavu 😭😭, mademu wazuri wenye akili zao wananiona kama mwehu ninapowatongoza, dah!, uintrovert wangu umezidi.
Kwasababu ya uintrovert, nina vita vya kujihukumu kwamba kila ninachofanya nakosea, personal conflict.
 
Relationship iwe romantic au friendship kiufupi any kind of relationship Kuna walakin kwa introvert
Naweza nikasema, wewe haujawa serious na suala la mahusiano kwa sababu hajapatikana ambaye ni chaguo lako.

Siku atakapopatika yule mnayeendana kwa sifa, tabia, na vigezo uvitakavyo basi hata ile kadhia ya ukimya sana au kutochangia neno ukiwa na jamaa itapungua.

Sikuwa na desturi ya kuongea na wasichana tangu nikiwa shuleni, Nilikuwa mkimya sana hata nao waliniogopa sana.

Nimeanza shule mpaka nahitimu hakuna MWALIMU WA KIKE wala MWANAFUNZI WA KIKE
alowahi kuniona nikicheka hata mara moja pale shuleni.

Hivyo wanafunzi wa KE na walimu wa KE walinitungia jina na likadumu eti, "SINA BANDAMA", au "HUYU HUWA HACHEKI HANA BANDAMA".

Lakini alihamia mwanafunzi wa KE huyo tulielewana akawa rafiki yangu sana. Alinichekesha siku moja, nikacheka. Akaniambia, "KUMBE HUWA UNACHEKA"?

Ni binti mmoja shule nzima aliyeweza "kunisemesha" na "tuka
 
Mimi ni introvert halafu nina kigugumizi kikali. Tone yangu ya uongeaji haifurahishi masikioni mwa watu. Nimeachana na wanawake wengi kwa sababu ya hilo. Jambo hilo limepelekea nikose raha, nahisi nina depression au inferioty complex, so sad [emoji24][emoji24]. Uintrovert na kigugumizi vimenikosesha mazuri mengi sana.
Kwasababu ya uintrovert, sipati mademu wakali, napata wanawake waliochoka, walevi, wagonjwa wa akili, wazee au walemavu [emoji24][emoji24], mademu wazuri wenye akili zao wananiona kama mwehu ninapowatongoza, dah!, uintrovert wangu umezidi.
Kwasababu ya uintrovert, nina vita vya kujihukumu kwamba kila ninachofanya nakosea,yaani personal conflict.
Duuh pole sana ...
Jaribu kuridhika na Kila hali unayopitia nadhani utapatu tu mtu ambaye anaweza akavumilia mapungufu yako hivo usikate tamaa
Kuna watu Wana matatizo kama yako na kuzidi lakini wamepata watu ambao wanawapenda na wapo kwenye mahusiano mpaka hivi Sasa
Patience pays.....
Keep moving forward
 
Shukrani mkuu,
Mitaani napata shida sana, tena sana.
Nitaelezea uintrovert ulivyonikosesha mazuri
 
Naweza nikasema, wewe hauja serious na suala la mahusiano kwa sababu hajapatikana ambaye ni chaguo halisi.

Siku atakapopatika yule mnayeenda kwa sifa, tabia, na vigezo uvitakavyo basi hata ile kadhia ya ukimya sana au kutochangia neno ukiwa na jamaa itapungua.

Sikuwa na desturi ya kuongea na wasichana tangu nikiwa shuleni, Nilikuwa mkimya sana hata nao waliniogopa sana.

Nimeanza shule mpaka nahitimu hakuna MWALIMU WA KIKE wala WANAFUNZI WA KIKE
walowahi kuniona nikicheka hata mara moja pale shuleni.

Hivyo wanafunzi wa KE na walimu wa KE walinitungia jina na likadumu eti, "SINA BANDAMA", au "HUYU HUWA HACHEKI HANA BANDAMA".

Lakini alihamia mwanafunzi wa KE huyo tulielewana akawa rafiki yangu sana. Alinichekesha siku moja, nikacheka. Akaniambia, "KUMBE HUWA UNACHEKA"?

Ni binti mmoja shuleni nzima aliyeweza "kunisemesha" na "tukapiga stori".
Kuwa introvert haimaanishi kwamba hatuongei au hatucheki na wanawake...kiufupi kwangu Mimi Nina marafiki zangu wakike wachache ambao nao mwanzoni walikuwa wananiogopa kutokana na tabia yangu ya kutochangamana ...
Ila kadiri siku zinavyoenda ukaribu unakuja lakini linapofika suala la mahusiano au mapenzi Sina historia nzuri

Kuhusu kupata mtu anayenipenda sana Hilo silikatai ...ila naamini katika maisha haya watu huja na kupotea Leo nikipata mtu wa namna hii kesho nikikosa sawa Hila naweza kupata tena
 
Back
Top Bottom