Mimi ni introvert halafu nina kigugumizi kikali. Tone yangu ya uongeaji haifurahishi masikioni mwa watu. Nimeachana na wanawake wengi kwa sababu ya hilo. Jambo hilo limepelekea nikose raha, nahisi nina depression au inferioty complex, so sad [emoji24][emoji24]. Uintrovert na kigugumizi vimenikosesha mazuri mengi sana.
Kwasababu ya uintrovert, sipati mademu wakali, napata wanawake waliochoka, walevi, wagonjwa wa akili, wazee au walemavu [emoji24][emoji24], mademu wazuri wenye akili zao wananiona kama mwehu ninapowatongoza, dah!, uintrovert wangu umezidi.
Kwasababu ya uintrovert, nina vita vya kujihukumu kwamba kila ninachofanya nakosea,yaani personal conflict.