Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Wewe ndo una uchungu sana na hizo server za Jamii forum?...umechangia nini mpaka Sasa kwenye hizo server za Jamii forum kifaida?. NB..hatupangiwi namna ya kuishi
 
Mara nyingi extrovets inashabihiana na tabia za kike kike...kuongeaongea na kuwa muwazi bila hata kuulizwa.....na Introvets ni tabia ya kiume zaidi na ndyo maana ya kupewa koromeo....unayahifadhi na kufafanyia kazi ndani yako.....ila kitaalam wale ambao ni Ambivert ni bora zaidi ....na wale ambao ni Omnivet ni balaa kabisa hawafai.
 
Karibu sana ...
Tutafute namna ya kutatua matatizo yetu na ku move to a better place
Namna pekee ya kukabiliana na hali ya introvet ni kuwa Ambivert ...thats it...Nashukuru Mungu mimi ni Ambivert kwa hiyo niko applicable pande zote mbili
 
Ambivert nawafahamu wapo able ku switch to either side of extrovert and introvert...omnivert ndo wanakuwaje mkuu?
 

Exactly mkuu. Hii kila mtu kujinasibisha na introversion ni trend kama ilivyokua kunyoa kiduku, kuvaa model nk

Sahizi ni sifa kila mtu kujiona eti yeye ni introvert kumbe hali mbaya teh teh teh. Ghafla watu ambao walikua life of the party or extroverts wamepotea kabisa. Hakuna hata mmoja anakiri kuwa extrovert, isn't that something?

Kwenye ulimwengu ambao kila mtu anajiona yeye ni special basi hakuna uspecial wowote.

Vijana watafute hela wataacha huu uzwazwa wakuchukulia mambo ya hovyo seriously ya introversion na zodiac signs.
 
Extrovert was never a sign of disorder or abnormality , disorder zipo nyingi sana , this applies to AUTISM SPECTRUM DISORDERS , ATTENTIVE DEFICIENCY HYPERACTIVITY DISORDER , BORDERLINE PERSONALITY , DARK TRIAD PERSONALITY , NARCISSISM ....many to count unayajua hizo disorder zote au umekariri introvert na extrovert??????
 

You're preaching to the choir. I can add a few more to that list and there traits.

ADHD - Ain't no Dad at Home Disorder. Go figure kwanini inaitwa hivyo na kwanini kila mtoto mweusi anapewa bila hata diagnosis.

Again haya mambo mnaona sifa ila ni uzwazwa. Tafuteni hela mtaachana na huu utopolo na utopolo wa zodiac signs.

Huoni ajabu extroverts are non existent nowadays? Kila mtu kawa introvert teh teh teh.
 
I'm not here to argue with anyone..kama wewe unaona hayakuhusu hujalazimishwa kuchangia
Kwahiyo umeona introverts ndo hawana Hela au wanalalamikaga hawapati Hela ..
Acha kukaza fuvu na kujikuta unajua sana
 
Hakuna maisha mazuri kama haya ,unaishi kwa raha sana ,unajiongelesha mwenyewe na kujijibu ,na hakuna kitu nachukia kama kua na girlfriend au mpenzi sjui ,i hate having any kind of sexual relationship
wengine ni introvent...ila katika kipengele kinanishinda ni sex mimi kila siku .had najichukia dem akiwa mbali nateseka sana sana.natamani niwe kama ww ila nashindwa najiona sijakamilika mpaka niwe na demu.
 
Alafu kuwa watu ni wapiga nyeto wazuri sana wanajiweka kwenye kundi la introverts



wacha mle tozoo
 
Hii ya nyeto ipo kwa wote kiongozi
 
Kwaiyo wazungu wote Ni introvert Mana hawanaga mambo za kusocialize kiivo,, na mda mwingi wapo silent, nadhani Ni katika kutafakari kuwaza Maendeleo sijui? , so wote Ni introvert?
Wabongo wengi tunaongea Sana, na tunaona ndio sifa na ndio ujuaji huo,, Kuongea tunakupa kipaumbele Sana kuliko kazi,, hata Kama tunachokiongea hakina maana, "Afrikans talk much" hapo ndo ilipo changamoto"
Unachokiongea kinamaana kubwa Sana kwenye maisha yako.
 
Haa yan Mimi sjui niseme nini ila mm hua sitamani mahusiano kwa sababu moja tu mimi ni mdhaifu sana na kiuhalisia ninaishi maisha ya amani nikiwa single ila nikiwa na mahusiano ndugu sina amani
 
Daaaaah! Mzee una issue nzito sana.?
 
Ya kweli hayo?
 
Unasoma?
 
Acha woga ysitongoze tafuta hela utatongozwa na mademu wakaliiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…