Ulimwengu wa roho haujui lolote kuhusu wewe kama hujatamka lolote

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Hi,

Karibu uchukue nondo.

Usitamke jambo kumwambia mtu yoyote kama huna uhakika limekamilika. Mtu umevalishwa pete ya uchumba, unatangaza kila kona, mtu unataka ununue gari unamtangazia kila mtu.

Unajuaje wote ni watu wazuri?

Kama una jambo la kheri unataka ufanye, chunga sana mdomo wako.

Pale utapotamka tu,taarifa zinakusanywa siku ya kikao zinapelekwa unawekewa vikwazo.
 
Tamka lolote kwa Jina la Yesu uone kama kuna kenge yeyote anaweza kukuwekea kikwazo.
 
Hakika c binadamu wote tunapendana ..

Haswa swala la kimaendeleo mtu yupo radhi hata akutoe rohoo kisa tu unajuhudii za maisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom