Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Hukumu yako itakuw ya kimwili nasi ya kirohoKama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....[emoji41]
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???
Najaribu kuwaza tu!
Vyovyote iwavyo Khantwe wote tunazaliwa mara ya piliKuna watu wanaamini ukifa unazaliwa mara nyingine tena..unaweza kuzaliwa mtu yuleyule na sura ileile au kiumbe kingine. Wanadai maisha uliyoishi ndo yana-determine next life utazaliwa katika mazingira gani. Hili nimelisikia siku nyingi ila sijawahi kulitilia maanani maana mimi kwa imani yangu mtu akifa ndo mwisho wake anasubiria hukumu ni either uzima wa milele au moto wa milele lakini naona kadri siku zinavyoenda natamani kujua zaidi kuhusu hili..hii imekaaje mshana jr
Hizo imani zitakupeleka pabaya sanaNI kweli hiyo ipo huwa inahitwa Reincarnation
Kuna kitu kinaitwa Reincarnation ndio kinaelezea zaidi kuhusu kufa na kuzaliwa tena kwa mfano Mwl.Nyerere alipokufa wanasema atazaliwa Tausi ili aendelee kuishi Ikulu
Usiende kwa waganga! Usitafute ufumbuzi wa matatizo yako nje ya utaratibu wa kusahihisha uumbaji kama kusafisha nyota na kufanya kafara na matambikoMh kaka Mshana leo umeniacha gizai. Sasa nifanyeje ili niuishi mchoro wangu?
Hukuku ya mwisho ina pande mbili hasi na chanya! Pepo na akhera ....waendao peponi waliishi mchoro wao waendao jehanam waliusahihishaKama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....[emoji41]
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???
Najaribu kuwaza tu!
Hapa umeongea kitu cha ukweli sana!na makanisa mengi ya kiroho yanasaidia sana kuvunja haya maroho kwa kutoa muongozo nini ufanye.Unaeza kuta familia ina liroho la kimasikini bila nguvu za Mungu na kuvunja mikataba ya kishetani iliyowekwa na mababu, huwezi kufanikiwa kamwe.Maisha yetu huwa yanasimamiwa na mikataba ya kiroho(maagano) ambayo either ilifanywa kati mababu, wazazi wetu au sisi wenyewe na miungu.
Viwango vya maisha vinafungwa kwenye mikataba hiyo na ndo maana level ya hali ya maisha inafanana sana kwenye familia au ukoo au hata kabila.
Mikataba hii inadumu hadi kizazi cha nne otherwise ujue jinsi ya kuifunja na kuingia mkataba mpya na Mungu Mwenye nguvu (Creator of universe)
Roho haifi nafsi haifi kinachokufa ni mwili .....maandiko yanaposema kila nafsi itaonja mauti maana yake ni kwamba kila nafsi (ID) itatengana na mwili na rohoNingependa kujua nafsi ni nini na roho ni nini?Je baada ya kifo kipi kinakufa na kipi kinabaki?Je kinachobaki kinakwenda wapi??
Kuna nguvu nje ya nguvu za kiroho zenye vita ya kiroho hizi ndio huharibu na kuangamizakwahiyo maisha tayari yapo framed, sisi tunafuata tu kama train kwenye railway!, kwahyo mfano jambazi yeye alipangiwa atazaliwa, ataishi itafika muda ataiba ataua halaf mwisho wa siku motoni, na wengine reli yao imenyooka hadi peponi!?
Inategemea umepangiwa kupita njia gani katika maisha na na ushindi wa changamoto utakazokutana nazo na namna ulivyozitatua ama kwa utashi binafsi ama nje yake"Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu
kuzaliwa mpaka
kufa"
huo mchoro umepangwa ndo unaufuata au ni vile utakavyokuwa(jinsi utakavyoenenda)..?
Tukianza safari kwenda mikoa miwili tofauti nia ni kufika salama lakini kumbuka njiani kuna changamoto nyingiSijui sijaelewa mada au vipi mkuu mshana ,mtu akibaka akaenda jela 30years inamaana limepangwa au limeingilia kati kutoka kwenye source nyingine
kwahiyo kumbe unapangiwa!! so hata watakaoenda motoni wamepangiwa..? kuna haja gani sasa ya ibada kwa watu waliopangiwa kutupiwa motoni.Inategemea umepangiwa kupita njia gani katika maisha na na ushindi wa changamoto utakazokutana nazo na namna ulivyozitatua ama kwa utashi binafsi ama nje yake