Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nzi bila shakaMkuu hebu vuta picha,kama raisi anazaliwa tausi na kwenda kuishi ikulu,je kina sie kalagabaho tutazaliwa nani maisha ya baadae???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nzi bila shakaMkuu hebu vuta picha,kama raisi anazaliwa tausi na kwenda kuishi ikulu,je kina sie kalagabaho tutazaliwa nani maisha ya baadae???
Aisee kumbe...lakini wapo ambao kukaa gerezani ni sehemu ya mchoro kama ilivyokuwa kwa YusuphHukuku ya mwisho ina pande mbili hasi na chanya! Pepo na akhera ....waendao peponi waliishi mchoro wao waendao jehanam waliusahihisha
Umeongea deep sana. ni wachache ambao watakuelewaHauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!
Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha mwanadamu sio roho. Makosa ya kiutendaji,makosa binafsi, makosa ya kukusudia na kutokusudia , habari za bahati mbaya na maneno kama heri ningejua....! Haya yote si ya kiroho ni ya kimwili
Ukisoma habari za jicho la tatu, machale ,ndoto taarifa ufunuo na maono unaona kwa usahihi kabisa ulimwengu wa roho ulivyotutangulia kufahamu yajayo kabla ya nafsi zetu kupata taarifa rasmi
Kila tukio liko preplanned. Hakuna bahati mbaya, ni limitations za ufahamu tu wa kibinadamu ndio umezuiwa kuona haya
Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu kuzaliwa mpaka kufa...........
Utazaliwa lini na nani utapitia nini na wapi utakutana na nani! Utakuwa nani, utafanya nini, utaanguka wapi na kusimama wapi! Yote haya hayatokei kwa bahati mbaya
Jee huu ni ubaguzi?
Kwamba mmoja tangu kuzaliwa mpaka kufa yeye ni mafanikio tu?
Kwamba tangu kuzaliwa mpaka kufa ni yeye na matatizo matatizo na yeye?
Kwamba wengine husimama na kushamiri kisha huanguka na kupotea kabisa?
Kwamba wengine hukulia kwenye shida nyingi na matatizo lakini huja kutoboa na kutoka kimaisha?
Ulimwengu wa roho hauyumbishwi...formula zake ziko kama zilivyo michoro yake ni kamili na kamilifu unapojaribu kuisahihisha na ishu za waganga nyota na ngekewa unajitafutia dhahama usiyoiweza
Utafanikiwa kwa kipindi tu lakini asili itakurudisha kwenye shina lako kiroho..pale ulipotakiwa kuwa na hapo ni sawa na kujaribu kunyoosha bati lililopinda na kupondeka
Ulimwengu wa roho hauna modifications! Ishi maisha yako ukijibidiisha na ufanyayo katika mstari sahihi...usijaribu kutoka nje ya mstari kwa kuchanganya ya rohoni na ya kidunia ...hutafika mbali
Hakunaga bahati mbaya hata Siku mojaTukianza safari kwenda mikoa miwili tofauti nia ni kufika salama lakini kumbuka njiani kuna changamoto nyingi
Je tunazishindaje na kufika salama?
Huwa tunaichafua michoro yetu tangu mwanzo....ukichunguza wenye kesi na vifungo vibaya historia yao imejaa ukengeufu mwingi....hawakuanza kuharibu sasa
Hiyo kitabu inasemaje mkuu..? Is our life pre planned or not?You can change your destiny- Liao fang four lesson
Pls google we can learn something there
Mkuu,ni kweli kwamba wanasiasa ni washirikina wakubwa,je wanaweza kwenda kwa fundi na kumtambua mtu mwenye FAKE ID(utambulisho wa kujificha jina kama hapa JF) na kisha wakampiga kipande au kumfata mpaka alipo na kumfanyia fitna?Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!
Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha mwanadamu sio roho. Makosa ya kiutendaji,makosa binafsi, makosa ya kukusudia na kutokusudia , habari za bahati mbaya na maneno kama heri ningejua....! Haya yote si ya kiroho ni ya kimwili
Ukisoma habari za jicho la tatu, machale ,ndoto taarifa ufunuo na maono unaona kwa usahihi kabisa ulimwengu wa roho ulivyotutangulia kufahamu yajayo kabla ya nafsi zetu kupata taarifa rasmi
Kila tukio liko preplanned. Hakuna bahati mbaya, ni limitations za ufahamu tu wa kibinadamu ndio umezuiwa kuona haya
Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu kuzaliwa mpaka kufa...........
Utazaliwa lini na nani utapitia nini na wapi utakutana na nani! Utakuwa nani, utafanya nini, utaanguka wapi na kusimama wapi! Yote haya hayatokei kwa bahati mbaya
Jee huu ni ubaguzi?
Kwamba mmoja tangu kuzaliwa mpaka kufa yeye ni mafanikio tu?
Kwamba tangu kuzaliwa mpaka kufa ni yeye na matatizo matatizo na yeye?
Kwamba wengine husimama na kushamiri kisha huanguka na kupotea kabisa?
Kwamba wengine hukulia kwenye shida nyingi na matatizo lakini huja kutoboa na kutoka kimaisha?
Ulimwengu wa roho hauyumbishwi...formula zake ziko kama zilivyo michoro yake ni kamili na kamilifu unapojaribu kuisahihisha na ishu za waganga nyota na ngekewa unajitafutia dhahama usiyoiweza
Utafanikiwa kwa kipindi tu lakini asili itakurudisha kwenye shina lako kiroho..pale ulipotakiwa kuwa na hapo ni sawa na kujaribu kunyoosha bati lililopinda na kupondeka
Ulimwengu wa roho hauna modifications! Ishi maisha yako ukijibidiisha na ufanyayo katika mstari sahihi...usijaribu kutoka nje ya mstari kwa kuchanganya ya rohoni na ya kidunia ...hutafika mbali
Kwa hiyo tuwaachie wachawi wajinafasi?Usiende kwa waganga! Usitafute ufumbuzi wa matatizo yako nje ya utaratibu wa kusahihisha uumbaji kama kusafisha nyota na kufanya kafara na matambiko
Laana za ukoo zinatokana na kutaka kusahihisha michoro yetu
Utazaliwa mende utaenda ishi chooniMkuu hebu vuta picha,kama raisi anazaliwa tausi na kwenda kuishi ikulu,je kina sie kalagabaho tutazaliwa nani maisha ya baadae???
Uko sahihi na ndio maana wengi walioingia kwenye ushirikina kwa nia ya kutaka kutoka kimaisha mafanikio yao yamekuwa ni ya muda na mwisho wa siku wamejikuta wakirudi pale walipotoka au hali zao kuwa mbaya zaidi.Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!
Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha mwanadamu sio roho. Makosa ya kiutendaji,makosa binafsi, makosa ya kukusudia na kutokusudia , habari za bahati mbaya na maneno kama heri ningejua....! Haya yote si ya kiroho ni ya kimwili
Ukisoma habari za jicho la tatu, machale ,ndoto taarifa ufunuo na maono unaona kwa usahihi kabisa ulimwengu wa roho ulivyotutangulia kufahamu yajayo kabla ya nafsi zetu kupata taarifa rasmi
Kila tukio liko preplanned. Hakuna bahati mbaya, ni limitations za ufahamu tu wa kibinadamu ndio umezuiwa kuona haya
Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu kuzaliwa mpaka kufa...........
Utazaliwa lini na nani utapitia nini na wapi utakutana na nani! Utakuwa nani, utafanya nini, utaanguka wapi na kusimama wapi! Yote haya hayatokei kwa bahati mbaya
Jee huu ni ubaguzi?
Kwamba mmoja tangu kuzaliwa mpaka kufa yeye ni mafanikio tu?
Kwamba tangu kuzaliwa mpaka kufa ni yeye na matatizo matatizo na yeye?
Kwamba wengine husimama na kushamiri kisha huanguka na kupotea kabisa?
Kwamba wengine hukulia kwenye shida nyingi na matatizo lakini huja kutoboa na kutoka kimaisha?
Ulimwengu wa roho hauyumbishwi...formula zake ziko kama zilivyo michoro yake ni kamili na kamilifu unapojaribu kuisahihisha na ishu za waganga nyota na ngekewa unajitafutia dhahama usiyoiweza
Utafanikiwa kwa kipindi tu lakini asili itakurudisha kwenye shina lako kiroho..pale ulipotakiwa kuwa na hapo ni sawa na kujaribu kunyoosha bati lililopinda na kupondeka
Ulimwengu wa roho hauna modifications! Ishi maisha yako ukijibidiisha na ufanyayo katika mstari sahihi...usijaribu kutoka nje ya mstari kwa kuchanganya ya rohoni na ya kidunia ...hutafika mbali
Yeremia 29: 11Kama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....[emoji41]
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???
Najaribu kuwaza tu!
Kaka mimi sijawahi kwenda kwa waganga, ila katika kufanikiwa kwangu kunatokana na kukwepa kodi na udanganyifu mdogo mdogo katika kazi zangu enzi nikiwa nimeajiriwa kwa mfano kudai kurudishiwa ghalama za usafiri zaidi ya nilivyotumia n.k, je hapa nilipo nipo ndani ya mchoro wangu?Usiende kwa waganga! Usitafute ufumbuzi wa matatizo yako nje ya utaratibu wa kusahihisha uumbaji kama kusafisha nyota na kufanya kafara na matambiko
Laana za ukoo zinatokana na kutaka kusahihisha michoro yetu
Ndio kuna road map very perfect one! Wanaoenda motoni ni wale walioedit ruti zao.. Motoni ni adhabu ya kukengeuka nackuharibukwahiyo kumbe unapangiwa!! so hata watakaoenda motoni wamepangiwa..? kuna haja gani sasa ya ibada kwa watu waliopangiwa kutupiwa motoni.
pili umesema ulimwengu wa roho ni timilifu sasa kwanini uzalishe vitu visivyotimilifu..?
hauoni kama kuumba viumbe visivyo timilifu hlf ww wasema ni timilifu je si udhaifu huo..?
Perfect conclusionUko sahihi na ndio maana wengi walioingia kwenye ushirikina kwa nia ya kutaka kutoka kimaisha mafanikio yao yamekuwa ni ya muda na mwisho wa siku wamejikuta wakirudi pale walipotoka au hali zao kuwa mbaya zaidi.
Haya ni ya kawaida mbaya ni kumdhulumu mhitaji ama fukara! Yani hata kile kidogo alichonacho unataka kiwe chako! Unajua kwanini anapitia hayo maisha? Sometimes huwa tunabeba laana bila kyjijuaKaka mimi sijawahi kwenda kwa waganga, ila katika kufanikiwa kwangu kunatokana na kukwepa kodi na udanganyifu mdogo mdogo katika kazi zangu enzi nikiwa nimeajiriwa kwa mfano kudai kurudishiwa ghalama za usafiri zaidi ya nilivyotumia n.k, je hapa nilipo nipo ndani ya mchoro wangu?
Hapana hizo ni story tu za vijiweni..hakuna ukweli kwenye hiloMkuu,ni kweli kwamba wanasiasa ni washirikina wakubwa,je wanaweza kwenda kwa fundi na kumtambua mtu mwenye FAKE ID(utambulisho wa kujificha jina kama hapa JF) na kisha wakampiga kipande au kumfata mpaka alipo na kumfanyia fitna?
Maana hawa jamaa kupita kwenye TV za asili jambo la kawaida tu!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yan ufe raisi uzaliwe tausi???Afu uishi tena ikulu???Ngoja ninywe chai kwanza
Hapa Nimekuelewa Pasipo Hata Kwenda Tuition MchikichiniMaisha yetu huwa yanasimamiwa na mikataba ya kiroho(maagano) ambayo either ilifanywa kati mababu, wazazi wetu au sisi wenyewe na miungu.
Viwango vya maisha vinafungwa kwenye mikataba hiyo na ndo maana level ya hali ya maisha inafanana sana kwenye familia au ukoo au hata kabila.
Mikataba hii inadumu hadi kizazi cha nne otherwise ujue jinsi ya kuifunja na kuingia mkataba mpya na Mungu Mwenye nguvu (Creator of universe)