Ulimwengu wa roho ni timilifu

Ulimwengu wa roho ni timilifu

Bado nina safari ndefu ya nikufahamu Mshana jr, ila niaanza kukuelewa kidogo, na kama niko sahihi utakuwa mtu mzuri
Agynasa mshana Jr ni binadamu wa kipekee sana anayeishi maisha ya kumpendeza Mungu.
 
Hizo walishamkasirisha Mungu na zitaondoka baada ya kizazi cha tatu ama cha nne.... Sanasana kinachofanyika ni kupozapoza tu kwa ibada na matambiko ya kawaida...kuendelea kufanya kafara za kuchinja ni sawa na kuzidi kuzilisha zile roho
Mwee sasa kama mimi ni kizazi cha Tatu au Nne ndio nivumilie kuishi katika laana hizo kaka yangu?
 
Hebu twende kwa lughapicha kwa wale ambao walikuwa hawajaelewa wanaweza kupata kitu
8fd889d98769afa146ec477588ade9a7.jpg

Katika haya yote jehanam na masumbuko yote ya dunia vitakosa wateja kweli
 
Attachments

  • ae189e8dd17bffc4bf08fb3cf2a90d18.jpg
    ae189e8dd17bffc4bf08fb3cf2a90d18.jpg
    41.1 KB · Views: 61
Mwee sasa kama mimi ni kizazi cha Tatu au Nne ndio nivumilie kuishi katika laana hizo kaka yangu?
Soma tena nilichoandika unaweza kuzipoza tu ili zisilete madhara na usumbufu lakini sio kuzitoa
 
The most perfect state is nothingness.

Any deviation from nothingness is deviation from perfection.

By nothingness, I do not mean a perfect vacuum. I mean the absence of anything, even spacetime (henceforth "space").

Space itself has energy which, per quantum physics, causes virtual particles to be created and destroyed all the time. So in space, even a 100% perfect vacuum will create particles and deviate from a perfect vacuum.

So, when we say nothing is perfect, that is very true.

Nothingness is the most perfect state.
 
Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu!

Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha mwanadamu sio roho. Makosa ya kiutendaji,makosa binafsi, makosa ya kukusudia na kutokusudia , habari za bahati mbaya na maneno kama heri ningejua....! Haya yote si ya kiroho ni ya kimwili

Ukisoma habari za jicho la tatu, machale ,ndoto taarifa ufunuo na maono unaona kwa usahihi kabisa ulimwengu wa roho ulivyotutangulia kufahamu yajayo kabla ya nafsi zetu kupata taarifa rasmi

Kila tukio liko preplanned. Hakuna bahati mbaya, ni limitations za ufahamu tu wa kibinadamu ndio umezuiwa kuona haya
Maisha yako na yangu yako kwenye mchoro kamili tangu kuzaliwa mpaka kufa...........

Utazaliwa lini na nani utapitia nini na wapi utakutana na nani! Utakuwa nani, utafanya nini, utaanguka wapi na kusimama wapi! Yote haya hayatokei kwa bahati mbaya

Jee huu ni ubaguzi?
Kwamba mmoja tangu kuzaliwa mpaka kufa yeye ni mafanikio tu?
Kwamba tangu kuzaliwa mpaka kufa ni yeye na matatizo matatizo na yeye?

Kwamba wengine husimama na kushamiri kisha huanguka na kupotea kabisa?
Kwamba wengine hukulia kwenye shida nyingi na matatizo lakini huja kutoboa na kutoka kimaisha?

Ulimwengu wa roho hauyumbishwi...formula zake ziko kama zilivyo michoro yake ni kamili na kamilifu unapojaribu kuisahihisha na ishu za waganga nyota na ngekewa unajitafutia dhahama usiyoiweza

Utafanikiwa kwa kipindi tu lakini asili itakurudisha kwenye shina lako kiroho..pale ulipotakiwa kuwa na hapo ni sawa na kujaribu kunyoosha bati lililopinda na kupondeka

Ulimwengu wa roho hauna modifications! Ishi maisha yako ukijibidiisha na ufanyayo katika mstari sahihi...usijaribu kutoka nje ya mstari kwa kuchanganya ya rohoni na ya kidunia ...hutafika mbali
Uongo..
 
Mkuu, (Mshana Jr) vipi ile misemo, katika VITABU vya KIROHO inayo chochea, ama kuamsha HARI ya Binaadamu kuamka na kupambana na mazingira yake.

Msemo kama "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE".
Tunaona wazi Mungu akituambia/akitukumbusha kwamba, NO EASY COMES.
Hili ni andiko katika INJILI (BIBLE).

Kuna andiko lingine nalo kutoka katika moja ya vitabu vya Dini..unasema "Mwenye kuweka jitihada na jambo atapata"

Vipi katika haya Mkuu (Mshana)
hatuoni kuwa mustakabali/hatima nzima ya MAISHA ya Mwanaadamu iko MIKONONI mwake...!!?

Maana ni kama MUUMBA wa ROHO anajivua MAJUKUMU...

JE..? Kama jamii, tuamini kuwa maisha haya tuliyo nayo Watanzania, ndio tuliyo andikiwa na Mungu Muumba..!?
Hatusitahiki kamwe kupata maisha kama ya China ama Amerika..!!

Naomba ufafanuzi kidogo kwa alie muelewa Mshana.

Kweli atuhitaji kupata MILO mitatu ya uhakika kama wale WALIBYA wa GHADAFI...!!?

Naombeni ufafanuzi...
 
Ni hivi ni lazima tuchochewe kufanya kazi kwakuwa roho husika iko kwenye mwili wa nyama lakini ni kazi halali sio kuanza kwenda kuumiza ama kudhuru wengine ili wewe upate
Tunahimizwa kutafuta elimu kujibiidiisha kwenye kila jambo but in a very positive bila kudisturb uasili...
nazungumzia katika ubaya na wema, na si kwa muktadha wa mzunguko wa maisha ya kila siku
 
Back
Top Bottom