ULINGANIFU WA MIUNDO YA MIUNGANO: Nyerere alizidiwa Maono na Karume, Unfortunately, alidhani ataishi milele kuziba mianya.

ULINGANIFU WA MIUNDO YA MIUNGANO: Nyerere alizidiwa Maono na Karume, Unfortunately, alidhani ataishi milele kuziba mianya.

Ndombwindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
1,880
Reaction score
3,042
Copy and Paste ya mfumo wa UK ilimgomea, maana wanzanzibar hawakuwa wajinga pia.
MUHIMU KUJIFUNZA:
  • Tofauti kati ya wenye akili Nchi 4 zenye chumi kubwa zinaungana na kuunda serikali kuu moja, na wafuata mkumbo tuinchi tudogo tuwili ambato GDP zake anamiliki muwekezaji mmoja tu toka USA tunakuwa na viserikali uchwara kibao. (Matajiri wa kuanzia nafasi ya 20 hadi 25 nchini Marekani wana utajiri unaocheza kati ya Dola bilioni 70 hadi bilioni 90, jambo linalowafanya wakaribie sana thamani ya uchumi wote wa Tanzania). "Kina Elon tuwaweke mbali kabisa na shida zetu".
  • Pato la Taifa la Tanzania (GDP) kwa sasa ni takriban Dola za Kimarekani bilioni 94.89 (sawa na zaidi ya Pauni za Uingereza £72 bilioni).
  • Mtu tajiri zaidi nchini Uingereza kulingana na The Sunday Times Rich List 2026, ni Familia ya Hinduja (Sanjay na Dheeraj Hinduja) wakiwa na utajiri wa Pauni bilioni 38 (takriban Dola bilioni 50), Ili kufikia GDP ya Tanzania, unahitaji kuchanganya utajiri wa matajiri wawili au watatu wa juu wa Uingereza kwa pamoja (kama Familia ya Hinduja na Familia ya Reuben) (Hahahaa!!! Huruma sana)

KipengeleMuungano wa Uingereza (UK)Muungano wa Tanzania
Idadi ya NchiNchi 4: England, Scotland, Wales, na Northern Ireland.Nchi 2: Tanganyika na Zanzibar.
Muundo wa SerikaliSerikali Moja Kuu yenye ugatuzi wa madaraka (Devolution) kwa mabunge ya Scotland, Wales, na Northern Ireland. England haina bunge lake binafsi.Serikali Mbili: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Tanganyika haina serikali yake binafsi.
Mkuu wa NchiMfalme au Malkia (kwa sasa Mfalme Charles III) ambaye ni mkuu wa nchi wa muungano mzima.Rais wa Jamhuri ya Muungano, akisaidiana na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Muungano.
KatibaHaina Katiba moja iliyoandikwa (Uncodified Constitution); inategemea sheria mbalimbali, mikataba, na desturi za kihistoria.Ina Katiba Moja Kuu iliyoandikwa ya mwaka 1977, ingawa Zanzibar pia ina katiba yake kwa mambo yasiyo ya muungano.

SASA HIVI: Raisi wa muungano Mzanzibar Makamu wa Muungano Mzazibar... Ila haitakaa itokee Hivyo kwa Mtangayika, maana makamu wa Muungano ni Raisi kutoka Zanzibar ambaye lazima awe Mzanzibar. "NYERERE NI JANGA LA TAIFA".

Kwa muktadha huu, ni sahihi Nyerere kutambuliwa kama janga la Tanganyika, nakumbuka hata hilo jina tuu hakulipenda, anasema hajui lilitokea wapi as if yeye ndio alipaswa kuwa na say ya kila kitu kwenye hii ardhi za muumba iliyoishia kumfukia na yeye pia.

CC (Machawa)
Tlaatlaah gallow bird Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom