Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Siyo kweli maana waislamu wenye akili wamesha mkana sheikh Ponda lakini tujiulize ni kweli kosa la ponda halina dhamana? au tunachekelea tu kwasababu ni mwislam, Kwanini sheria hizi hazitumiki kwa mafisadi kuwakamata na kuwanyima dhamana....Mfano akamatwe Kikwete, Lowasa, Chenge, Rostam, Kinana na majangiri wengine halafu wawanyime dhamana hapo mimi nitawaunga mkono, na kwa upande wa wachoma makanisa hao wanapaswa kunyongwa kama wanavyopaswa kunyongwa Mafisadi
Hivi ni ugaidi au uisilamu? Nadhani dunia ina tatizo la uisilamu