Patty B
Member
- Jan 5, 2011
- 32
- 3
halafu mara nyingine huwa nawashangaa sana hawa watu, huo usawa wanaousema ni ule ule unaofahamika mpaka kwenye kamusi au wana maana yao? Hivi na waliochomewa kanisa wakitafuta usawa kwao kwa kuchoma msikiti itakuwaje..mie huwa siwaelewi kabisa...they are best in complein..muwe mnapima basi..kuna ishu mkilalamika mnaweka wazi umbumbumbu wenu! Afu tabia yenu ya kutishia kunukisha nchi mkome nani kawaambia tunaogopa..anyway siku zote muoga huwa na kelele sana lakini ngumi moja humnyamazisha...