Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

halafu mara nyingine huwa nawashangaa sana hawa watu, huo usawa wanaousema ni ule ule unaofahamika mpaka kwenye kamusi au wana maana yao? Hivi na waliochomewa kanisa wakitafuta usawa kwao kwa kuchoma msikiti itakuwaje..mie huwa siwaelewi kabisa...they are best in complein..muwe mnapima basi..kuna ishu mkilalamika mnaweka wazi umbumbumbu wenu! Afu tabia yenu ya kutishia kunukisha nchi mkome nani kawaambia tunaogopa..anyway siku zote muoga huwa na kelele sana lakini ngumi moja humnyamazisha...
 
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU

Duh! Kweli mnaonewa, hata ukiandika kitu cha maana keyboard inakibadili na kuwa pumba.

Bwana 'Muislam' unamaanisha nini kusema mtu anakaguliwa na CCTV? Closed Circuit TeleVision ni kifaa cha ukaguzi? Anyway, tuondoke huko, sitegemei hayo uwe umefundishwa madrasa. Turudi kwenye pumba zako:

Nani alikwambia kuwa kesi zinaendeshwa kwa ulinganifu wa dini na si circumstances? Hivi nyinyi watu mbona mnapenda kujidhalilisha? Kila anayejiita muislam na kuleta mada hapa anaongea ujinga, au wapagani nyie mmetumwa kuchafua dini ya watu?

Sikiliza nikwambie, Padre Kimaro na Mchungaji Mtikila hawakuwa na kesi zenye kuambatana na matishio ya maandamano wala fujo, je kulikuwa na umuhimu gani wa kuwekewa ulinzi mkali? Hiyo moja, mbili, unadhani ule ulinzi ni kwa ajili ya nani zaidi ya mtuhumiwa mwenyewe?

Ficha ujinga wako, acha kujidhalilisha. Sio kila kitu ukilinganishe kidinidini. Mbona Mh. Freeman Mbowe alipelekwa Arusha na makomandoo wa Jeshi, naye pia ni mfilisti? Mbona hukulisema hilo? Sijui mkoje, na kudhihirisha mlivyo duni kichwani, angalia nani kakupa like

Mahakama ya kulazimishana ibada mmesharuhusiwa kuanzisha sasa we unaomba nini tena?
 
Vipi ndugu yetu umetoka mbingu gani? Inaonyesha umesahau. Ponda kama Ponda yuko katika ulinzi tangu anaamka kuja mahakamani. Tatizo nyie wafuasi wake ambao mmekuwa mkisema liwalo na liwe, lazima kieleweke lengo mkitaka Ponda aachiwe kwa dhamana. Dhamana ina masharti kama kesi yako inastahili dhamana basi fuata masharti kama haina dhamana basi subiri proceedings hadi hukumu haki ifuate mkondo wako. Nadhani nimekujibu bila jazba wala matusi nategemea hata wewe utakuwa muungwana kufuata nyayo zangu.

Ukipigwa "KOFI upande wa Kushoto mgeuzie upande wa KULIA pia,
Ukinyang'anywa KOTI mwachie na SHATI" Usilipize KISASI.
Acha mambo ya kizamani, kwa hiyo na ukinyang'anywa suruali umwachie na chupi kabisa au?
 
Missed you Masanilo

ponda+ukaguzi.jpg

Haya huyu mwingine ameamua kuficha hata uso wake, sasa sijui nia yake nini. Waacheni wanawake wenu wawe huru, loh! Yaani kuwa mwanamke ndio uadhibike na joto namna hii?

By the way, afande kasimama in such a way Mwana Mtoka Pabaya nasikia raha. Ambaye suruali haimpendezi kama huyo mkaguzi lazima afiche umbo lake baya kwenye kaniki
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru kwa ulinzi huo kwani bila hivyo yale matunguli tusingeyakamata,ukicheka na gaidi utashusha bendera nusu mlingoti mda si mrefu!!
 
Madaidi ni hatari sana kwa usalama na amani ya nchi ni lazima wakaguliwe tena kwa makini sana. Bravo!!
 
Mahakama ya Kisutu kumezuka mtindo unaoashiria ubaguzi kwa kesi zinazowahusu wafuasi ama viongozi wa dini ya Kiislam.Siku za karibuni, tumeshuhudia matumizi ya gharama kubwa zisizo na sababu kwa kesi za waislam kama vile ya Sheikh Ponda na Watuhumiwa wa Fujo Mbagala.
Siku za kesi husika, watu wote wanaongia Mahakamani Kusutu wanakaguliwa kwa kutumiwa kamera za CCTV, pia ulinzi wa askari wenye magwanda na makachero unakuwa mkubwa.

Hali ilikuwa tofauti wakati wa kuendesha kesi za viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa).
Hali hii isifumbiwe macho ipo siku itakuja leta machafuko nchini mwetu kwa uonevu wa waislam katika vyombo vya dola ambayo vinagharamiwa na kodi ya wananchi wote. Ikumbukwe kabla ya hukumu wote huwa ni watuhumiwa, lakini nchini mwetu watuhumiwa wa Kiislam wanachukuliwa tofauti. Twaomba katiba mpya itanbue mahakama ya kadhi, ili tuepukane na uonevu unaombatana na MOU

Kama mchungaji Mtikila na Padre Kimaro wangehusishwa na vitendo vya kihuni vya kuchoma misikiti, ni wazi kuwa nao wangekuwa wakiletwa kwa ulinzi mkali. Unajifanya huoni tofauti ya ushawishi wa viongozi hao wa pande mbili - akina Ponda na akina Mtikila?
 
Magaidi wote Dunia mzima hivi ndivyo wanavyofanywa, tena hapa kwetu naona anachekewa huyu, kesi yake ilibidi iwe inafanyikia kwenye manowari za jeshi ndio wangetia akili hawa wavaa vipedo na wafuga madevu.
 
Hapa kweli dini imedhalilishwa sana.

Hata angekuwa Mkristo, Mhindu etc kama angehusika kwenye kuchoma mali za watu kwa reaction kwamba mtu fulani kakojolea kitabu cha dini angekaguliwa na si udhalishaji wa dini. Labda kudhalilisha dini kungekuwa kama huko mahakamani wamekashfu imani fulani ya dini.
 
Michango yako ipo loud and clear haina chenga. very smart and specific


Aliyeidhalilisha dini ni yule aliyefanya mambo ya kijinga kwa mwavuli wa hiyo dini, na yeye aliyeshangilia ujinga ule.

Wahuni wamevunja makanisa, wakikamatwa=waislam wanadhalilishwa.

Kagua busha mama. Mkague na cha-cha-cha zake
 
mtoa uzi unaonekana hukerwi na machafuko yanayoletwa na hiyo iman yenu, eti kisa mnatetea uislam. sidhan kama uislam kama dini ya Mungu inawamuru mlete machafuko na muondoshe amani. Kuna ushahidi mwingi sana unaogusa uislam na ugaidi ukilinganisha na ukristo na ndo maana kwenye kesi za wakristo hakuna ulinzi kama huo uislam wenu.
Badilikeni hubirini amani na si kuiondosha aman dunian na hakika hakuna atayewalinda kama wafanyiwavyo wakristo.
Hiyo ni fact na hamuwezi kupinga
 
Nimeona kasichana kana mkagua ostazi kafurahia katulia mwenyewe mpaka anasahau kama anaingia ndani. sasa huyu analalama nini. kama utakikaguliwa piga vazi la heshima, suti uone kama utakaguliwa.

Ila muachage kulalalalama kila kitu mjiulize kwa nini nyinyi wakati hapa kuna ima lukuki iweje hiyo ya kwenu tu na wakati viongozi wote wa juu katika nchii wanatokana na imani hiyo. Nao wamewatetea mpaka wamewachoka jirekebisheni
 
Back
Top Bottom