Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

Siyo kweli maana waislamu wenye akili wamesha mkana sheikh Ponda lakini tujiulize ni kweli kosa la ponda halina dhamana? au tunachekelea tu kwasababu ni mwislam, Kwanini sheria hizi hazitumiki kwa mafisadi kuwakamata na kuwanyima dhamana....Mfano akamatwe Kikwete, Lowasa, Chenge, Rostam, Kinana na majangiri wengine halafu wawanyime dhamana hapo mimi nitawaunga mkono, na kwa upande wa wachoma makanisa hao wanapaswa kunyongwa kama wanavyopaswa kunyongwa Mafisadi
Hivi ni ugaidi au uisilamu? Nadhani dunia ina tatizo la uisilamu
 
Viongozi wa dini ya Kikristo, mfano Mchungaji Mtikila na Padre Kimaro (Kesi ya Ubakaji mtoto wa Kanisa) hawakuwa na wafuasi wenye vurugu kama wafuasi wa kiislamu ndo maana hata kesi zao zinaposomwa basi watakaojitokeza mahakamani wanakuwa watu makini ambao wanajua wanachokifuata na si kufuata mkumbo kama hao wanaopekuliwa
 
unaanzia wapi kuwaamini waislamu kwenye kujilipua kwamba hawatajilipua?
 

1. Kuna methali ya Chichewa inasema: "Kulira mvura kulira matope" (ukililia/ukipenda mvua uwe tayari kukutana na matope). Hao wahuni walilia mvua na matokeo yake ni hayo matope (consequences).
2. Kama kungekuwa na ubaguzi wa kidini mahakamani si ungekuwa umeshajionesha miaka nenda rudi na ni kwa nini usubiri tu wahuni wanaochoma makanisa na wafuasi wao?
 

kwa iyo serikali ya CCM ni wabaguzi wa kidini??
 
Hivi ni ugaidi au uisilamu? Nadhani dunia ina tatizo la uisilamu
Dunia haita tatizo na uislamu.Frankly speaking,there is strong correlation between terrorism and muslim religion!
 
Ingekuwa ulinzi wa hivyo wanawekewa viongozi wa kikristo afu wa kiislamu hawawekewi napo ingekuwa kosa mngelalamika kuwa mnabaguliwa, emancipate yourself from mental slavery!
 
Wachungaji wa DECI hadi hii leo hawapati kibano wawapo Kisutu pamoja na kuwatia umaskini raia wengi

Kwani walichoma nyumba, biashara au gari la nani? Matukio kama yale ya Zainzibar, Mbagala na Kariakoo ndiyo yamesababisha yote haya na wala si Deci wala nini, bro!
 

Mwana mtoka pabaya kweli umetoka pabaya wewe unauma bila hata kupuliza??!!
Ila big up kwa kuwapa ukweli ambao hawawezi kuupata madrasa labda wanaweza jifunza kushirikisha bongo zao kabla hawajaongea.
 

This is a seriouz problem, isipokuwa solved mapema, italeta maafa makubwa sana nchini.
Tatizo la udini linasolviwa vipi?
Viongozi pamoja na wananchi wanapaswa kutumia busara na hekima juu ya hili ili kuleta umoja, amani na upendo kwa wakristo na waislam wote nchini.
 
Sijaona ishu ya udini kwenye hili.. hapa sheria inaangalia impact ya vurugu zilizotokea kwasababbu wale watu walichoma nyumba za ibada wakafanya vurugu wengine walitoroka na wengine kukamatwa sasa kama walishaonesha uvunjifu wa amani kwanini usiwekwe ulinzi mkali? kama wakiachiwa walete vurugu na kuvunja amani mahakamani maofisa wa polisi walioajiriwa kuhakikisha ulinzi watajibu nini mbele ya Umma? Uyo mtikila na uyo mchungaji since day one uliona wapi allegations/makosa yao yameleta uvunjifu wa amani kama wa mbagala.. sema nyie ndugu zetu baadhi yenu mnapendaga kujicompare kila kitu na wakristo ili kuleta mashindano tu inashangaza kwa taifa linalotaka kujikwamua na umaskini, ujinga na maradhi kuendekeza HABARI ZA UDINI badala ya ku focus kwenye kushugulikia matatizo ya msingi katika jamii...!!!! Its a BIG SHAME
 
ulisikia kuna kuhimizana makanisani kwa wakristo na shule zinazomilikiwa na taasisi za kikristo kufungwa eti kwenda kuhudhuria kesi ya padre Kimaro au wachungaji wa DECI au mtikila?? ni suala la kiusalama zaidi. ni sawa na kusema kwa nini CDF analindwa zaidi ya Kamishna mkuu wa Magereza. Ulinzi huwa mkali zaidi hata kwa Lulu kuliko wafungwa wengine. Kwa hiyo taengenezeni taswira nzuri mbele ya jamii kwamba nyinyi si watu wa shari kabla ya kulalamikia utumbo kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…