Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025.

Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Ndunguru kwa siku ya nne mfululizo.

 
Back
Top Bottom