Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.