ccm sasa kuna ushetani wa kutishaCCM wanataka kumuua
ccm sasa kuna ushetani wa kutishaCCM wanataka kumuua
Hahhah😂😂😂Chawaccm sasa wanatafuna pesa za ccm kwa visingizio vya kuudhofisha chadema
CHADEMA ina wachungaji wengi. Wamketishe Heche na kumshauri atulize akili na kwakuwa wametangaza maombi basi wawe na imani kuwa Munguvatajibu. Mungu yupo upande wa Haki siku zote.Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
CCM awajawai kupunguza fujo kisa kuna Chama kimejitoa CCM NI MOTO CHINI FULL MZUKA MWANZO MWISHO SAAU KUPOA CCM PENGINE UKIJUI ICHO CHAMA,,,CHADEMA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI, NI PIGO KWA VIJANA WA CCM.
Mpaka sasa CHADEMA wamesusa kusaini maadili ya uchaguzi hali inayowaondolea sifa ya kushiriki uchaguzi.
Nini athari yake, CHADEMA watakosa ruzuku lakini pia Vijana wa CCM watapata pigo kubwa .
Kwanini?, kwasababu hakuna Chama kingine cha upinzani chenye nguvu hivyo hata kampeni wagombea hawatotumia nguvu.
Wasanii na watu maarufu wanakwenda kukosa pesa za kampeni kwasababu hakuna haja kama chama kupoteza pesa za kampeni wakati mpinzani wako mkuu hashiriki.
MWIJAKU na wenzake hii inaweza kuwa pigo kubwa sana kwao. Watakosa maokoto.
Mchuano mkali utakuwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama na atakayepita hapo ni dhahiri shahiri atakuwa na asilimia nyingi za kushinda .View attachment 3303852
Ni mashetani tupuccm sasa kuna ushetani wa kutisha