Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake,hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
Crap.Tuna fahamu Hana ujasili huo, Hana mipango Hana maono. Kelele nyingi
Leo mnaanza kuelewa taratibu, chama ni kikubwa kuliko umri wake.
Hana pesa za kuendesha chama, Hana Washauri zaidi ya aliye Nairobi
Mh. Mbowe amewatenga kiaina. Lazima mkampigie magoti na kumuomba msamaha kwanza, wazee wanaitajika katika mji. Busara zao ni muhimu
Kwa UPUMBAVU wenu, naamini mwaka huu hautaisha bila nchi kuchafikaTuna fahamu Hana ujasili huo, Hana mipango Hana maono. Kelele nyingi
Leo mnaanza kuelewa taratibu, chama ni kikubwa kuliko umri wake.
Hana pesa za kuendesha chama, Hana Washauri zaidi ya aliye Nairobi
Mh. Mbowe amewatenga kiaina. Lazima mkampigie magoti na kumuomba msamaha kwanza, wazee wanaitajika katika mji. Busara zao ni muhimu
Hoja yangu umeelewa lakini?Tuna fahamu Hana ujasili huo, Hana mipango Hana maono. Kelele nyingi
Leo mnaanza kuelewa taratibu, chama ni kikubwa kuliko umri wake.
Hana pesa za kuendesha chama, Hana Washauri zaidi ya aliye Nairobi
Mh. Mbowe amewatenga kiaina. Lazima mkampigie magoti na kumuomba msamaha kwanza, wazee wanaitajika katika mji. Busara zao ni muhimu
Nani wabaki?Bora chama kife wabakie wao
Hasira hasaraKatika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
Mbinu za kula hela za tonetone, mnatafutiana kazi chademaKatika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
Kazi gani ametafutiwa?Mbinu za kula hela za tonetone, mnatafutiana kazi chadema
Clip iko wapiKatika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
Nenda youtubeClip iko wapi
Mwenzake LEMA keshasepa CANADAKatika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza presha kwa tukio la kukamatwa Lissu na kufunguliws kesi anaweza kuwa anahama kwenye hoja juu au kuizungumzia kidogo na kujikuta ,aidi akiongea hisia zake.
Hapa ndipo ninaposhauri chama kiwe na wanasaikolojia najuwa inauma.Pili ulinzi uongezwe kwake na viongozi waandamizi.
Unafahamu na nani? acha Uongo wako wewe unachofahamu ni kula pesa za ccm na chawaccm Timeccm kisha kuwatumia Polisiccm kuwabambikia kesi ya uhaini viongozi wa chadema kwa njia haramu za kishetaniTuna fahamu Hana ujasili huo, Hana mipango Hana maono. Kelele nyingi
Leo mnaanza kuelewa taratibu, chama ni kikubwa kuliko umri wake.
Hana pesa za kuendesha chama, Hana Washauri zaidi ya aliye Nairobi
Mh. Mbowe amewatenga kiaina. Lazima mkampigie magoti na kumuomba msamaha kwanza, wazee wanaitajika katika mji. Busara zao ni muhimu
Ushetani wa ccm utafika mwisho nani angejua leo magu hayupo? Wapo wapi akina Elbashiri wa Sudan, idd Amin dada, Bokasa, mabutu na wenzao? hakuna mabaya yasiyo na mwisho,Mwenzake LEMA keshasepa CANADA