PreGE2025 Ulinzi uongezwe kwa Heche na wanasaikolojia wawe karibu naye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chawaccm sasa wanatafuna pesa za ccm kwa visingizio vya kuudhofisha chadema
 
CHADEMA ina wachungaji wengi. Wamketishe Heche na kumshauri atulize akili na kwakuwa wametangaza maombi basi wawe na imani kuwa Munguvatajibu. Mungu yupo upande wa Haki siku zote.
 
Sote wenye utu bila kujali vyama na uchawa tupiganiye haki.
 
C
CCM awajawai kupunguza fujo kisa kuna Chama kimejitoa CCM NI MOTO CHINI FULL MZUKA MWANZO MWISHO SAAU KUPOA CCM PENGINE UKIJUI ICHO CHAMA,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…