Ulinzi wa Kagame, mbona hana Mwanajeshi nyuma?


It seems to you grew up in a military environment. Why do you ask for aide de camp? By definition aide de camp is an helper or a person who assist a senior military office. Now do you think Kagame needed one?
 
Ahsante.
Ninaomba ufafanuzi tofauti wa hizi tatu kimajukumu au kikazi.
Mfano ,mwaliko wa Viongozi kuhudhuria kuapishwa kwa Rais ni State Visit.

Au Rais wa Nchi rafiki amefanya ziara ya kirafiki Nchini ,anakutanana na Rais wetu. Hii ni State visit.

Rais wa Nchi fulani amealikwa kufungua Maonyesho ya Sabasaba. Hii ni State Visit.

Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) ,watakuwa na mkutano wa siku mbili utakaofanyika jijini Dar es salaam. Je!hii ni Official Visit au Working visit?

Working visit ni ipi?
Waungwana nisaidieni hapo.


 
Mimi pia nasubiri majibu ya hapa.

Wakuu wangu wakipita wataleta mrejesho jazilizi.
 
Haya mautamu utamu ya ukuu wa nchi ndiyo yanasababisha wagome kutoka Ikulu muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…