tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
nianchofahamu hapa duniani watu/mtu akiamua kukumaliza anakumaliza tu hata uwe na ulinzi wa malaika kutoka kwa Mungu
Hilo la kuhusisha Mungu na malaika wake umepotoka mkuu maana ni kufuru. Ila itoshe tu kusema binadamu sio mfugo kuwa unaswagwa tu na auchungaye.