Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana Kim Jong JrKaribu Pyongyang Jiji Safi hapa North Korea.
JrKaribu Pyongyang Jiji Safi hapa North Korea.
Mwingine yuko Jimboni Mtama LindiEti, ni kama wale wadudu wanaotoa harufu mbaya ukiwagusa, usipowagusa hiyo harufu hautaisikia hata wakipita mbele ya pua
Tazama nyuso za askkari wote wamejaa hofu
"Mr President we guarantee that you are safe" alisikika mmoja akisema kwenye maonyesho ya ndege za kivita 9.12.2014Hii ni tofauti kidogo na walinzi wengi wa wakuu wa nchi ambao huvaa miwani maalum myeusi yenye uwezo wa kuvuta taswira ya watu kutoka kwenye hadhara, kupiga picha na wakati mwingine kubaini vitu vya kielectroniki vinavyoweza kuwa tishio.
Lakini kwa walinzi hawa wa Kim Jong-un wao macho yao halisi yanatumika zaidi. Pamoja na uwezo huo, wana uwezo wa kuzima tishio ‘lolote’ kutoka kwa watu wa pembeni dhidi kiongozi huyo kwa kutumia mikono na miili yao, hata kama watu hao wana silaha!
Kati ya walinzi hao wanaokimbia wakitengeneza mzungunguko kwenye gari, lazima awepo kiongozi mkuu wa kikosi hicho kutoka katika ofisi yao kuu kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, akiongoza na kuratibu kwa kushiriki moja kwa moja. Hivyo, naye ni komando wa makomando mwenye mafunzo ya ziada anayefanya kazi kama maafisa wengine.
We kule Tocha anaongoza, ingawa walinzi wa Tocha sijui kama wamefanyiwa vettingUchambuzi mzuri na uhandishi safi. Ingawa sijasoma habari yote ila nadhani jamaa atakua moja kati ya Rais anaelindwa zaidi duniani baada ya Rais wa USA.
Ukiwa na power unakua na maadui wengi. Kuna jamaa humu anaitwa Kiduku Liko aka Lugano Bil, anasema ana hela ila hana ata mmasai anaetembea nae.