Ulinzi wa Kim Jong "Kiduku"

Ulinzi wa Kim Jong "Kiduku"

Leta na ya fidel castro maana nasikia alikuwa anabadilisha chupi na gwanda daily.
 
salute-l-mr.jpg
Tazama nyuso za askkari wote wamejaa hofu
 
Hii ni tofauti kidogo na walinzi wengi wa wakuu wa nchi ambao huvaa miwani maalum myeusi yenye uwezo wa kuvuta taswira ya watu kutoka kwenye hadhara, kupiga picha na wakati mwingine kubaini vitu vya kielectroniki vinavyoweza kuwa tishio.

Lakini kwa walinzi hawa wa Kim Jong-un wao macho yao halisi yanatumika zaidi. Pamoja na uwezo huo, wana uwezo wa kuzima tishio ‘lolote’ kutoka kwa watu wa pembeni dhidi kiongozi huyo kwa kutumia mikono na miili yao, hata kama watu hao wana silaha!

Kati ya walinzi hao wanaokimbia wakitengeneza mzungunguko kwenye gari, lazima awepo kiongozi mkuu wa kikosi hicho kutoka katika ofisi yao kuu kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, akiongoza na kuratibu kwa kushiriki moja kwa moja. Hivyo, naye ni komando wa makomando mwenye mafunzo ya ziada anayefanya kazi kama maafisa wengine.
"Mr President we guarantee that you are safe" alisikika mmoja akisema kwenye maonyesho ya ndege za kivita 9.12.2014
 
mchambue na jiwe akiwa dom, maboboni pia chatroo
 
Uchambuzi mzuri na uhandishi safi. Ingawa sijasoma habari yote ila nadhani jamaa atakua moja kati ya Rais anaelindwa zaidi duniani baada ya Rais wa USA.

Ukiwa na power unakua na maadui wengi. Kuna jamaa humu anaitwa Kiduku Liko aka Lugano Bil, anasema ana hela ila hana ata mmasai anaetembea nae.
We kule Tocha anaongoza, ingawa walinzi wa Tocha sijui kama wamefanyiwa vetting
 
Back
Top Bottom