Ulinzi wa penzi.......


Kweli nimeamini wewe mkongwe wa haya masuala...
inabidi utupe mada kuhusu "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
 

Karibu sana Mbu
na hapana sjakamatika ni maswali tu yalinijia kichwani..

asante sana kwa majibu yako yaneleweka ..
karibu tena kutupa madonge zaidi..
 
Kitu nilichokisoma humu ndani ni kuwa penzi la kweli halipotei, haliibiwi, haligawanyiki hata siku moja. Likiibiwa, potea, gawanywa halikuwa penzi la kweli!. Wanaume wenye wenzi wao; wanawake wenye wenzi wao wanaowapenda kwa dhati - wanapocheat nje huwa si kuwa penzi lao la kweli limekufa la hasha bali ni matamanio tu but penzi la kweli bado liko kwa wenzi wao... ni kuwa wamechoka kula nyama tu kila siku sasa wanatafuta ladha nyingine lakini haimaanishi wamechukia nyama kimoja.

kwa wale ambao wanatekwa kabisa na nyumba ndogo/ serengeti na kuwaacha wapenzi wao basi ni kwamba kwao hawakuwa wamepata penzi la kweli. So penzi la kweli linalead the way
Reference: Babu ODM.

(Babu uniambie kama nimefaulu somo lako tafadhali; na Grade niijuie)
 
mimi nimeshasahau kupendwa kwa hiyo,najipenda mwenyewe tu
 
Hapa ndipo utaanza kupotea njia.......... Upendo na Penzi ni vitu viwili tofauti kabisa..... Sana!

babu naomba soma majibu ya mbu ...
asante...

kwani hata upendo na Penzi ni vitu tofauti kabisa..
lakini majibu ya hapo juu (Mbu)bado yanalenga hapa..
 
Ukianza kuwaza kulinda penzi .....siku zako za kuishi zinaanza kuhesabika..

...I beg to differ...hata kwenye kiapo cha ndoa kuna sehemu inasomeka "naapa kukulinda...!"

Pesa ndio gundi ya mapenzi...superglue niguse unate...lol!

...I beg to differ,...hebu nambie ni kiasi gani cha pesa kinawezesha kunatisha mapenzi?!


asante sana kwa mawazo yako..
je kumuonyesha mtu unampenda si ndo kulinda penzi lisiingie pabaya au??

..."kumuonyesha" sio neno sahihi kwenye mapenzi, naamini kwenye mapenzi ni kutimiza wajibu wako aka -kufanya/kumfanyia/kufanyiana-,...mpenzi/mke au mume atayapokea kwa muonekanoi wake. kumuonyesha ni kama una pretend hivi, ambayo utapochoka ndio yataanza yale ya..."mbona siku hizi umebadilika, hunifanyii hili na lile...!"
 
Halafu siku hizi mnaleta mathread magumu yanaishia kuniumiza kichwa tu mtoto wa mwenzenu hata kuchangia siwezi.

Pole sana Chauro ....waweza sema "Napita tu" haina neno...
 
Kweli nimeamini wewe mkongwe wa haya masuala...
inabidi utupe mada kuhusu "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"

Penzi la Wizi: Afrodenzi anajifanya anampenda Rejao kwa sababu Rejao ana mafweza kaba Rostam...... wizi mtupu
Penzi la Huruma: Afrodenzi anamkubali Rejao kwakuwa Rejao kamtongoza yapata miaka mitano sasa......
King'ang'anizi: Rejao anampenda na kumng;ang;ania Afrodenzi kwa kuwa alipoonjeshwa mara ya kwanza, hajawahi pata mtaalam kitandani kama huyu, na tena mle ndani kuna joto la kutisha..... anan'angania mpaka kieleweke....
Kutamani: Afrodenzi anamzimikia Rejao kwakuwa Rejao ni handsome ana mwili ulojengeka kimazoezi, anapiga pamba za kufa mtu na vitu kama
hivyo

Penzi la kweli halina hiyo makitu.......... Ndo pale unamkuta mtu kaoa jimama minyama uzembe watu wakibaki kujiuliza "kampendea nini yule shankupe?" na wala wapenzi hawa wasisikie kisemwacho.
Au binti wa kitajiri anaanguka kwa sakara ODM, haambiwi wala hasikii kitu watu wakibaki kubishana "ODM lazima atakuwa mchawi"

Sijui niendelee?
 

...bado siamini leo hii tarehe 19/sept/2011 umewezaje wezaje kuandika kitu kama hiki.
Unajua nakutegemea sana kwenye ushauri mzuri ewe soulmate wangu? hebu tusiharibiane wiki bana.
una justify cheating kiurahisi namna hii...huo sio upendo wala mapenzi bana,...lol....

correct me if am wrong, otherwise nitakurudisha kwenye zile thread zangu za psychological abused kiasi kwamba
victim unajiona ni halali kwako mumeo akilala nje, ...almuradi anarudi kwako asubuhi, nawe unampikia supu,
unampigia pasi wenzio wakamfwaudu vizuri...

 


teh teh teh teh teh teh lol
imenibidi ncheke...
asantee


haya babu kupenda tu kunatosha ??
 
Hahaha!!! Mbu bana
 
Reactions: Mbu
Platinum!............Bingo!

Unataka kufanya PhD? Huna haja ya kuhangaika na Masters........... Umefaulu....A+

Unitafute nikupe zawadi yako......!
 

sante kwa masahihisho..
 
Reactions: Mbu
Aisee Moskwito, nrudishie Mjukuu wangu Mtiifu. Tafazali usinizeeshee akingali bado mwali.
 
Reactions: Mbu
ODM umenifanya nikacheekee nje kwa sauti!
Endelea kutoa dozi wajukuu watakuelewa tu!
 

Hahahaha nirudishe kwenye hizo thread zako ilimradi tu usinipe talaka.
hahahahaha jamani si nimeweka na source hapo chini?
Nimesummarize alichokisema babu kwenye thread ya Marking Territory na Mitazamo; Love should lead the way. Hakuna 'maneno' yangu hapo.
 
ODM umenifanya nikacheekee nje kwa sauti!
Endelea kutoa dozi wajukuu watakuelewa tu!
Kwa umri huu, jembe siwezi kamata tena, ngoja niwape wajukuu zangu hazina ya mapenzi iliyosalia......... Tatizo vijana wabishi wanasahau mapenzi hayafundishi darasani wala hayahitaji ushauri. Mapenzi yanaflow nachurale......

Yangekuwa yanafundishika, tusingesikia talaka wala kubamizana vyumbani humo. Na hapa JF Maushauri ya Mbu, AshaDii, MwanajamiiOne na wengine tusingeona kila siku masredi mapya yakifunguliwa kila siku ya watu wakiomba ushauri wa kulind ndoa zao.... wangefungua posts zao na kwenda kuyafanyia kazi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…