Ulinzi wa penzi.......


...dossshhhhh!

yaani baada ya kumsoma tena mzee ODM na kuirudia post ya mwanajamiione ndio nimepata mwanga sasa
mnatafsiri nini hapa....daaaahhhh....
ama kweli, mapenzi ni zaidi ninavyoyatafsiri aisee...pheewwwww!

kwa mtaji huu, afrodenzi naomba kujitoa kwenye mdahalo huu bana...
mwenzenu bado old fashioned kikwelikweli, i mean nikishapenda sitaki kusikia
hizo excuses za 'mafiga matatu'...iwe kwa mwanaume au mwanamke.
 

Haina neno kabisa ..
umesha nijibu vema kabisa jibu ulilonipa mara ya kwanza..

ila nashkuru kuona majibu ya wengine pia...
 
Reactions: Mbu
Mbu umeongeza furaha kwenye siku yangu ya leo kwa huu mtazamo wako
 
Reactions: Mbu
Aisee Moskwito, nrudishie Mjukuu wangu Mtiifu. Tafazali usinizeeshee akingali bado mwali.

...hapana,....nitakwenda nae sambamba mpaka aingie akili kwamba si halali wala sahihi kwake
kuwa victim wa psychological or emotional abuses...


How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??

Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??

asanteeni AD..

...afrodenzi,...kuna waliojaribu kulinda mapenzi kwa gharama zote, ikiwamo kuwafulia waume zao chupi
zenye manii, walitukanwa na kukebehiwa mbele ya na mahawara wa waume zao, walinyanyasika kijinsia,
na kuachwa waliachwa vile vile...

kuna wanaume walivumilia maumivu ya abortions za washkaji, wakavumilia lists za washkaji waliotembea na
mkewe, yote kwa kujustify mke ameteleza....na ataendelea kumlinda na kumvumilia...lakini wakaishia kuangukia
pua vilevile...

It takes two, ...kulinda au kuvunja!
 

Mkuu naona hawa wajukuu wanachanganya mambo mawili makubwa....Umuhimu wa kunogesha/kukoleza penzi Vs kulinda penzi!!

Hilo la kwanza ni muhimu sana na kuna mbinu nyingi ambazo tumezizungumzia sana hapa JF...ikiwemo kubadili mboga na usanii mwingine

Kwa upande wa hilo suala la pili...Ni kosa kubwa (close to suicide) kufanya attemps za kulinda mapenzi...Hivi mtu utatumia silaa gani???
 
Kwako Dada Ad!
Baada ya salaam....
Ningeweza kueleza mengi sana,
Jinsi nilivyowahi kulinda, yote yamesemwa..!
Yote nimefanya... ila sijalinda wala kushinda... utata wa viumbe sie...
Hapo penye pesa... pia utata tu..
Nimejikita kuamini kwenye kupenda kwa moyo wote
Ila kupenda zaidi kwenye kupendwa zaidi, silaha hii ya "to be there 4 her" bado naiamini amini japo haifanyi kazi kwa vichwa panzi!
 
Mbu anachokisema Babu ODM hapo ni kuwa mwenye cheating ni hulka ya binadamu (tena kuna sehemu nimesoma kuwa kwa mwanamke ni kubwa zaidi ya kwa mwanaume!!). Wenye uwezo wa kujizuia wana utashi, aibu na staha kwa wenzi na jamii na hawa si wengi sana. lakini wanaocheat si kuwa hawana mapenzi ya kweli bali ni wale walioshindwa kuzizuia tamaa zao na hawana aibu kwa wenzi wao na wanajifanya manunda kwa kuwaumiza wenzi wao hisia!

(Babu desa ulilonipa linaishia, usipoingilia kati hapa nakugeuka narudi kwa Mbuuuu)
 
Penzi halilindwi kamwe! utalilinda na kitu gani? pesa, uvumilivu, uaminifu au au au No way. UPENDO WA KWELI ndio kila kitu.
 

Unanogesha na kukoleza ili iweje?
 
Reactions: Mbu

Mwanajamii, Upendo hauhusudu, hautamani, wala hauesabu mabaya. Hakika naamini mwenye upendo wa kweli hawezi kucheat, huwa ujasiri hataupata wapi?
 
Pesa ndıo mlınz wa penz lako japo sı kwa %kubwa
 
pesa kiasi gani inayolinda penzi?

sio pesa peke yake,but pesa ya kutimiza majukumu,
ulinzi wa vingine kama upendo,kujali,kuwepo unapohitajika,urafiki n.k

unalinda kwa kila kitu unachoweza
 
"... Linda sana MOYO wako kuliko vyote ulindavyo.."

The so called "Penzi" halihitaji ulinzi kama MOYO wako unao ulinzi wa kutosha!
 
Afrodenzi....

I am sitting here, the tears are falling down my cheeks
Missing you is what I do for weeks
Just missing your words, missing what you write
I think of you every day and night
The longer you stay away
The more I miss you day by day

What is it why I love you so
Cause thinking about it I can't let go
What happened to me? Why can't I walk away?
Cause there's no reason for me to stay
Why is my head telling me to give up on you?
While my heart is saying I must never do
Desperate I am I follow my heart
Only to not fall a part
Cause I am empty without you
Cause loving you is all I do
When you're gone, what is there to love?
When you're gone who am I suppose to think of?
My heart is beating only for you
Will it stop beating when we are trough?

Look at me I am writing a poem here
You have changed me that's why I fear
I am afraid of what I will be
When I know I am another me
You made me how I am today
What am I when you are away?
Will I turn into the girl I used to be?
Or will I be another me?

I don't want to change cause this is the real me
Keep me from the misery
Stay close, don't let me fall
Cause you're the one, the best of all

I must say you are the only one that saw the real me
I wasn't afraid to show you how I can be
You saw every good and bad
And it didn't make you mad
You understood all the things I have done
That's why you are THE ONE
You have patience when I get mad
You give comfort when I am sad
You give your word when I am not sure
That's why I want you more and more
You know me better then I know me
That's why I hope it will be
You fill up what I miss
That's why I am longing for your kiss

You can make everything allright
That's why I want you every day and night
With you I feel complete and free
Cause with you I am ME

Love you –XXX-
 

Hahahahh njoo bwana usiondoke. Sasa ndio mdahalo unaanza hebu njoo bana amah!! wengi tunavitamanis ana vionjo hivyo vya kizamani Mbu na ni wengi kama si wote tungetamani kuishi maisha hayo ya kizamani kwani ndio ya ukweli zaidi. Ila sasa anachoongelea ODM hapa ni hali halisi ya maisha ya ndani ha hii Global village ya sasa hivi! Ambayo unawezalinda na kulinda kama unavyoweza kulinda na bado mwishowe ukaangukia pua vile vile (unless mkutane wote ni wa enzi hizo za old fashion penzi). Lakini kwa maisha ya ulimwengu wa sasa ambao Mbu unakutana na ODM kwenye viti virefu kila mara akikucheka kwa kukazania penzi la MwanajamiiOne kama vile umelishwa limbwata ni wazi kuwa ni wachache watakaokuwa na uwezo wa kuruka vihunzi vya ODM. Maana siku hizi mwanaume mwaminifu kwa mwenzi wake anaonekana ni Old fashioned, mshamba, dhaifu, kakolezwa, kawekwa kiganjani and all the bad images ambazo zinawezaua ego yake mbele ya wenzake................changanya na vishawishi vya watotot wazuri wanaozaliwa kila siku tena wenye stadi kali za maisha ikiwemo kutongoza mwanaume mtu mzima.............................utajikuta tu unacheat huku ukijiliwaza kuwa mara moja tu haiumiza unasahau kuwa kuna kunogewa. So kwa staili hii hata mwanajamiione mie nikikaa mlangoni na panga, upinde au bunduki kulilinda penzi letu bado itakula kwangu hahahahahah

(nirudishieni password yangu wapenzi kabla sijapewa talaka humu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…