Ulinzi wa penzi.......

Ulinzi wa penzi.......

Ukisema walitamaniana unakosea Babu sema huyu alimtamani kwa sababu anayefanya unyama huu ni mwenzi mmoja dhidi ya mwingine.
Swali langu sasa kabla hujaondoka na ninaomba jibu la mwisho sitakuuliza tena; ODM anapocheat na Amanda muhudumu wa Bar, au Sophia Secretari wake tunawezasema nakuna penzi la dhati hapo kwa Mama ODM au?

Na unaposema kuwa mwenye kufanya hayo hakuwa na mapenzi ya kweli ina maana inakuwa imekula kwake yeye aliyeolewa/oa mtu wa aina hii lakini akawa na penzi la dhati au haiwezekani mwenye penzi la dhati akakutana na aso penzi la dhati? na je ndoa yenye penzi la aina hii utaiitaje??
Wapendanao ni binadamu kama ambavyo wasiopendana walivyo......nao pia wana mioyo ya nyama na hawawezi kuwa perfect 100%. Kama ambavyo baba huweza kumkosea mwanae, mpenzi pia aweza kumkosea mwenzie.... Kwa mantiki hii walio katika mapenzi nao pia huanguka na kujikuta wanacheat........... Sasa ODM akimmega Eliza, haimaanishi mapenzi yake kwa mama Matesha ndo yameisha. Na ndio maana kama yakitokea haya hufanyika kwa siri kubwa sasa, si hadharani au kumwonyesha mwenzi wake kama ulivyotaka kutuchakachua hapo juu.....

Yes, kuna uwezekano mkubwa wa mwenye penzi la kweli akaolewa/oa na aliyemtamani. Hii ni mateso kwa mwenye mapenzi ya kweli. Ukisikia mmoja katika ndoa anataabika kwa manyanyaso na bado anang'ang'ania japokuwa ana uwezo wa kuanza mbele na maisha yake ujue mapenzi hayo ni ya dhati kwa upande mmoja.......... Lakini ukasikia "babue, usinletee za kuleta kama vipi nigaie talaka yangu niende kwetu" afu hata kabla hajamaliza sentensi talaka tatu zishachomekwa kwenye sidiria, ujue hapo hakukuwa na mapenzi ya kweli..... kutamaniana tu.....

Ndoa zenye aina hii ya mmoja mwenye mapenzi ya kweli na mwingine msanii naweza kuziita "ndoa za kifo"..... "mguu ndani mguu nje"

Bado niko hapa kama bado una swali nyoosha kidole juu.

Babu nimekufuatilizia tokea mwanzo wa hii mada,kwa kifupi anaongea vitu ambavyo kweli vinatokea na baadhi vimenigusa sana.
Asante na endelea kutoa darasa.

Hahahahh njoo bwana usiondoke. Sasa ndio mdahalo unaanza hebu njoo bana amah!! wengi tunavitamanis ana vionjo hivyo vya kizamani Mbu na ni wengi kama si wote tungetamani kuishi maisha hayo ya kizamani kwani ndio ya ukweli zaidi. Ila sasa anachoongelea ODM hapa ni hali halisi ya maisha ya ndani ha hii Global village ya sasa hivi! Ambayo unawezalinda na kulinda kama unavyoweza kulinda na bado mwishowe ukaangukia pua vile vile (unless mkutane wote ni wa enzi hizo za old fashion penzi). Lakini kwa maisha ya ulimwengu wa sasa ambao Mbu unakutana na ODM kwenye viti virefu kila mara akikucheka kwa kukazania penzi la MwanajamiiOne kama vile umelishwa limbwata ni wazi kuwa ni wachache watakaokuwa na uwezo wa kuruka vihunzi vya ODM. Maana siku hizi mwanaume mwaminifu kwa mwenzi wake anaonekana ni Old fashioned, mshamba, dhaifu, kakolezwa, kawekwa kiganjani and all the bad images ambazo zinawezaua ego yake mbele ya wenzake................changanya na vishawishi vya watotot wazuri wanaozaliwa kila siku tena wenye stadi kali za maisha ikiwemo kutongoza mwanaume mtu mzima.............................utajikuta tu unacheat huku ukijiliwaza kuwa mara moja tu haiumiza unasahau kuwa kuna kunogewa. So kwa staili hii hata mwanajamiione mie nikikaa mlangoni na panga, upinde au bunduki kulilinda penzi letu bado itakula kwangu hahahahahah

(nirudishieni password yangu wapenzi kabla sijapewa talaka humu)

....lol....umenirudisha kwa post hii,

...ama kwa style hii, acha tu mie old fashioned niendelee kuonekana zumbukuu ulimwengu upo huku,
nijibanze na old fashioned mwenzangu iwapo tu naye atakuwa anapuuzia kasi ya
mabadilikoyamapenzi.com

hivi afrodenzi hili swali lake angeuliza; unajilinda vipi kwenye mapenzi
ili kuepukana na kuachana/talaka, majibu yangekuwa haya haya?

Hahahahhahah Babu bwana, nimesema hawana aibu kwa wenzi wao loh.... wanajua kuwa mwenzi anajua kuwa anacheat na bado anacheat si hana aibu wala haoni vibaya??

Hilo ningeomba upate ushahidi humu humu ndani, wapo wanaowaletea wenzi wao mahawara, wakawashusha kwenye matrimonial beds na kuwalaza sakafuni au kwenye vyumba vya watoto! Hujawahisikia? kuna wanaume washenzi babu! Usiri unaouzungumzia nao pia unategemea unatafsiri vipi maana kama ni siri kwa mke/mume wakati rafiki yako ambaye ni shemeji wa mwenzi wako anajua hii si siri Babu yangu.

Sikujua kuwa wewe unaongelea hao ambao wako kwenye extremes.....!!! Kama mtu anafanya ujinga wake hata kumwacha mwenzie eti atajiju au analeta kimada na kumfanyia huo upuuzi mke wake...Basi simply huyo hana akili nzuri. Kwa umri wangu huu siwezi kukaa kuwafikiria vichaa wa namna hiyo. Na kama kuna mwanamke au mwanamume anavumilia vichaa wa namna hiyo basi yeye ndiye mwenye kichaa squared!!

kulinda utalinda lakini hautafanikiwa.....!

hata hivyo sijawahi kuona watu wakifanikiwa ''kuyalinda'' haya mapenzi....!mifano tunayo wajameni.tuwe realistic kidogo au vipi mazee?!

tunaona wake za watu wakishughulishwa mahoteli makubwa hapo dar nyakati za asubuhi na mchana...wakirudi makwao wanasoma biblia....

tunajiona sisi wenyewe wanaume tunavyoshindwa kuheshimu ndoa zetu kwa kuwa na vimada huko nje....na jioni tunarudi kuwakumbatia wake zetu as if ''nothing happened''

mimi nadhani kuna vitu ''basics'' vya kufanya ili:
-tuziheshimu ndoa zetu
-tuheshimu miili yetu
-tuheshimu afya za wenzi wetu
-tuwaonee huruma tuliowaleta duniani

sasa hayo mambo tajwa hapo juu yakifanyika utajikuta ''automatically'' unalinda hilo penzi!...sasa hayo mambo unayafanyeje hiyo ni topic kubwa sana basing on perceptions za ''imani''

kinyume na hilo my friends tutakuwa tunachangamsha jamvi!

Naona leo umefufuka kweli kweli...Pasaka yako tunailia wapi???

Aksante Teamo hapa umemaliza kila kitu...............unajua mnachokichanganya wewe na ODM ni nini? hapo kwenye nyekundu hapo, mwenyewe unasema ukizifanya hizo basics utajikuta UNALINDA hilo penzi aotomatically...........na ndicho tunachokisema pia sisi. so kwa maelezo yako hapa unakubali kuwa kwa kufuata hizo basics, autonmatically unalilinda penzi si ndio? au leo magugu maji yametanda kichwani mwangu

Huko ni kuficha aibu yako na ya mwenzio na siyo kulinda penzi...Suala la kulinda penzi zilielewi na kwa kwangu mimi sidhani kama practically and realistically kuna kitu kama hicho...Labda kwa wale wanaojing'ang'aniza kwa wenzi wao kana kwamba hao watu wao ndio Oxygen au H2O!!

....lol....umenirudisha kwa post hii,

...ama kwa style hii, acha tu mie old fashioned niendelee kuonekana zumbukuu ulimwengu upo huku,
nijibanze na old fashioned mwenzangu iwapo tu naye atakuwa anapuuzia kasi ya
mabadilikoyamapenzi.com

hivi afrodenzi hili swali lake angeuliza; unajilinda vipi kwenye mapenzi
ili kuepukana na kuachana/talaka, majibu yangekuwa haya haya?

Mkuu hilo swali lingekuwa na majibu mazuri sana kwani tungepata uzoefu wa kutosha kutoka kwa wadau mbali mbali!!!!

Kwangu mimi ulinzi wa kwanza ni kuhakikisha najizuia kula vya nje kwa nguvu zote unless shetani amshinde malaika...Na ikitokea kitu ya namna hiyo, basi bibi asijue labda kama nimeshaandikiwa salamu za R.I.P!!!

Ila kuna dimension nyingine...Kuamini kwamba nakula vyangu peke yangu...siibiwi na mtu mwingine hadi pale nitakapomnasa mtu..tena naturally bila kwenda kuwinda au kutafuta kama kuna mwizi anayeniibia!! Hii inanisaidia kutopata ungonjwa wa moyo au stroke..na siku zangu zinasogea taratibu!!

afrodenzi, Ulizi uliyo wa muhimu ni kufanya yale yakupasayo katika kiwango chako. Kama ni mume muonyeshe mkeo unampenda kwa maneno na vitendo. Likewise, kwa mwanamke pia. Muheshimu partner wako na ujuwe pia ni vitu gani anavipendelea-uvifanye na vitu gani havipendi ili uviepuke. Jitahidi kuwa mzuri kwenye mawasiliano na kuto-ignore vitu vidogo vidogo maana vinaweza kuleta ufa mkubwa. Jitowe katika penzi lako na jitahidi kutoa bila kutegemea kupokea katika kiwango sawa cha kile ulichotowa.

Zaidi, Mshirikishe Mungu na kuombeana pia.

mimi nashindana na wewe emjeiwani kwenye kulinda hilo penzi kwakuwa naamini kuna vitu wanawake wanafanya wakiamini ndo wanalinda penzi....!WAO WANADHANI WANALINDA KUMBE WANAHARIBU KABISA...!kwa mfano:
-kupekua pekua inbox (mails na simu)ya mwanaume.
-kumtambulisha tambulisha mwanaume kwa videmdem sijui vinani (kwamba wataogopa)
-kuacha viatu kwenye gari
-kuacha vipodozi
-kumkagua kagua mwanaume kila akirudi home (wengine wanamkamua hata 'paipu' kuona kama kuna masalia ya tui)
-kumpigia pigia simu za kumwahisha kurudi hm mwanaume wakati anajua yupo baaa...
-na upuuzi mwingine wote

hivi vitu ndo wakinamama wanadhani wakifanya wanalinda penzi.....!

tuwe wakweli wajameni......!huko ni kudanganyana
Teamo kwa kusema hayo na hayo uliyoyaorodhesha ninaomba kufunguliwa mlango upande wako na kuingia kwenu. Mimi wakati najadili hapa sikuwa nimeyafikiria hayo engine, na ndi maana kama utasoma vizuri posts zangu nasisitiza kwenye yale yanayokubalika ambayo wewe na babu ODM mnayaita "Basics".

Some few corrections;
1. Kuacha vipodozi, kuacha viatu kwenye gari kwa uelewa wangu mie MJ1 niliyachukulia kama njia za kumark territory tu na si kulinda penzi. Kumark territory kuwa "This Man has a woman somewhere' so kama unaiba basi iba kwa kujua kuwa kuna mwenzako, hauko peke yako. Huku si kulinda bali kutoa taarifa ya possession.

2. Kupiga simu wakati uko Bar nafikiri ni haki ya mke kujua uko wapi na nani kwa sababu lolote lawezatokea na mimi kama mkeo ninapaswa kujua nitaanzia wapi na kwa nani kufuatilia incase of anything.

Hayo mengine uliyoyataja ninakubaliana na wewe kuwa hayana maana na ni kero kubwa katika mahusiano.

Eti walisema let it sijui nini vilee, teamo na babu asprini nikumbusheni... hawataki tulinde

Naomba nipingane na wote mlochangia kwenye hii sredi. Mkiona nimekuvunjieni heshima kashtakini kwa Invizibo.

Huu mjadala una mitazamo miwili tofauti kwa maoni yangu na katu hauwezi kuwa sahihi kwa kuuangalia kwa mtazamo mmoja, Penzi linalindwa at the same time Penzi halilindwi (kiswahili kigumu lakini mtanielewa mbele ya safari)

1) PENZI LINALINDWA:
Kumbukeni sisi ni binadamu na tuna madhaifu yetu ambayo kama tukiyapa nafasi kututawala au kuwatawala wenza wetu basi tutakuwa tunalizembea penzi hata kama liwe madhubuti vipi.

Ufafanuzi: Mfano mwanaume ana udhaifu wa tamaa na mwanamke ana udhaifu wa kupenda attention au kupenda kwa mazowea, ni vyema ukamlinda mwenzio ili asiteleze kwa kumwelewesha kukaa mbali na vishawishi ambavyo vinaweza vikapenya kwenye udhaifu wake na kuharibu penzi, haiwezekani mwanamme amruhusu mke wake akalale na marafiki wa kiume eti tu kwasababu anamuamini au mwanamke kumuacha mume wake ajiexpose kwenye vishawishi au mitego ya starehe eti kwasababu tu penzi halilindwi. (Hapa unalinda ili mwenza au wewe mwenyewe usije ukateleza na ukaliathiri pendo na mtiririko wake)

Conclusion: Penzi linalindwa ili lisiingie doa kwa kuzingatia weakness ya mtu/jinsia, mazingira na kwenye wajibu (hapa inaingia kunogesha/kukoleza penzi)

2)PENZI HALILINDWI: hii inabase zaidi kwenye hisia, hisia za mapenzi hazilindwi na wala hazifuatiliwi wala kubadilishwa kirahisi. Yoyote mwenye hisia za mapenzi za kweli anaweza akatawaliwa na tamaa tu lakini moyo utabaki kwa anaempenda na hili halina ubishi. Lakini kumbuka kwamba mtu huyu inabidi alindwe ili asiteleze na akalitia doa pendo, kwa vile mtendwa siku zote hajui moyo wa mtenda kama umebeba penzi la dhati au la usanii, hivyo hata penzi la dhati lina nafasi kubwa ya kuparaganyika kama halijalindwa (refer to Penzi linalindwa, above).

Nimeandika haraka haraka kwavile hapa Igunga internet cafe hawaruhusu ukae zaidi ya dakika 10, hivyo kama hamjanielewe nitakuja kufafanua sku jirani yangu mwenye laptop akilejea holidei.
Nisiulizwe masuali kwa vile sitokuwa hewani.
Kwaherini!

shemeji bwana!! Mikwara mingi kama mcheza mieleka! Aksante kwa ufafanuzi huu, naungana nawe kichwa, mabega na mikono!

Umemaliza mkuu unatisha.wasalimie sana igunga....

mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu

asanteeni...Igwe

mkuu Igwe hapo umenena kama mwanaume haswaaaaaa,ndo maana wahenga walisema 'penye udhia tia rupia' ukimuuzi mama we mtwange upande wa khanga then ugomvi kushne!

na huo ndio ukweli mkuu,..hayo mengine ni vikolezo vya mapenzi,...labda tukimaanisha yale ya kwenye tamthiliya

Mi naona siku hizi hamna tena upendo, ndoa nyingi after 3month of marriage vituko vinaanza, watu wengi wapo stressed, life f.ucks all, No one is virgin,no more love, maBF na maGF ndio usiseme, wadada/wakaka wengi hawaamini penzi la mtu mmoja!!

Penzi haliwezi kulindwa(kibinadamu) ila linaboreshwa...penzi ni hisia ya mtu juu ya mtu mwingine...sasa utalindaje hisia ya mtu? kitu kisichoonekana kwa macho ya nyama...hisia zimekaa kiroho zaidi...unless na wewe uko kiroho pia..PENZI linaboreshwa ktk kukumbushana/kutimiza(kupalilia) wajibu...ila kiroho unaweza kulinda..hebu niishie hapa.

Brainstorm you and yourself kwa nini ulinde penzi.

Linda penzi pale utapoona linaelekea kulindika, linalindika. Utapodhani penzi litalindika in future, jilinde mwenyewe. Tumia kondom kila wakati unapotumia penzi.

Back
Top Bottom