Ulinzi wa Rais Samia umebadilishwa?

Ulinzi wa viongozi wa juu hasa rais, duniani kote sio la mchezo.

Yakitokea mauaji ya rais hapo nchi inaingia kwenye mpasuko unaoweza leta mauaji makubwa kama sio vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Acha apewe ulinzi kama wote ili kuzuia gharama za kizembe zitokanazo.
 
Ni hiviii ule upande ni waoga sana wa kufa na ndio ulinzi wao ni wa kufa mtu na bado wameisha wote,
Ila hawa wengine wala hawahangaiki sanaaa na ulinzi yaani ni ulinzi wa kawaida tu na bado wanadunda mpaka leo
 
Bwana asipourinda Mji aurindaye afanya kazi bule.
 
Kwa sasa 'Hirizi' zinafanya Kazi Kubwa na Nzuri kuliko Binadamu na Vyombo tulivyovizoea.
 
Wamebadilisha rangi ya nguo tu ila pale JNIA siku ya kumpokea Haikande juzi mabunduki njenje kama kawa.
 
Hao jamaa wapo labda kama wamepunguzwa idadi
Iko hivi walianza kupunguzwa idadi kwenye convoy ya maza ila kwasasa ni kama wanaonekana kwa nadra kinyume na enzi ya mtukufu walikuwepo kila uchwao
 
Acha story za kukaririshwa
 
Wamerudi kwa kishindo hao jamaa wa bunduki kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…